@matekawa3: SMART TV #DrMateka

DR. MATEKA
DR. MATEKA
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 10 September 2026 08:20:22 GMT
23711
870
88
187

Music

Download

Comments

danielderik261
Daniel Derik :
electro magic
2026-09-13 00:38:08
0
a_man_0086
A MAN OF AMAGON UK’S CUSTOMS :
New iPhone inachip za Israel
2026-09-10 14:07:00
4
zq.abdulrazak.yas
ZQ :
suluhisho peeke n kila serekari iwekeze kwenye technology ili kila nchi itengeneze za kwao kuepuka yote hayo
2026-09-10 09:16:47
7
by.liko
by Liko :
si ndomana walimjua khamenei alipo😁😁😁😁
2026-09-10 12:01:21
3
alsham_guide_zanzibar
alsham_guide_zanzibar :
Ndio maan zamn wazee tv ilikuw wanaifunik
2026-09-12 00:13:51
0
samking2394
samking :
ww unatushauri nn boss
2026-09-10 10:55:24
0
mama.d59625
Aunt p :
mimi hapa sina nguvu kabisa yani najisikia vibaya sana
2026-09-12 11:02:36
0
malicksalum5
malick 0091 :
Broo kuwa makini siku hizi wanapoteza tu, usijue vitu sana😂😂😂
2026-09-10 16:02:54
1
gfather52
g'father :
Sasa tufanyeje ili kuepuka kudukiliwa na vitu hivyo
2026-09-10 16:29:37
0
monaz_life
Ramona :
Sasa wanawafatilia wangap
2026-09-10 14:09:20
0
123maulidi12
DIZONGA :
hata hiz tunazo assemble wenyewe hapa mjin zna camera !?😅
2026-09-10 16:12:25
0
abrazuually
abrazuually :
Mm chochote nachowaza au nachosoma kinakuja nakiona
2026-09-10 14:16:09
0
iqtaderqueen
iqta der queen :
mm tv yangu ipo chumban bas nmeisha mm
2026-09-12 12:19:40
0
chris_moloko
Chris_moloko :
kweli AI itakuja kuuwa watu. duniiani kote
2026-09-12 22:43:01
0
lailalaila8548
ام نرتني :
uwiiii nilijuwa niko na zali la mentall8 maana kila lenye nitaongea ao kujifikiria ni lazima nitaviona kwenye sim
2026-09-12 18:59:54
0
daforogo
daforogo🌷 :
mimi nilifikiri Mungu unisogezea kila taaharifa ninapoitaji nikajiona choose one 😂 kumbe inapasa mazungumzo
2026-09-11 02:47:28
2
user8144516947347
DISIGNER :
Ni kweli hata mm skunyingi nilikua najiuliza
2026-09-10 08:51:53
2
stevewalker.1
💲💎$TËV£💎💲 :
ahaa kwaiyo kumbe tupo kwenye mfumo flani ivii umeelezea vizuri nimekuelewa
2026-09-10 16:37:03
1
rw.mane
rw mane :
hiyo nikweli maana hata watekaji tanzania wanapenda kuchukua tv wakikukosa hata kwa polepole walichukua smati tv
2026-09-10 14:45:44
2
baba.wa.imaan
Nyota ya kheri🌟 :
Mataifa yaliyoendelea yamewekeza zaidi kwenye teknolojia binafsi ila kuepuka udukuzi, ila sisi huku twaletewa tu ndio tunaona tunapendwa😁😁
2026-09-13 06:02:40
0
krm__9
krm__9 :
brooo me naomba nikuulize je ni TV za LG tu ndo ziko hivyo au ni TV tofauti tofauti zote ziko hivo .au kwa TV zenye mfumo wa batani ya microphone button ndo zinakuwa na hizo mambo
2026-09-12 20:15:24
0
dorahuser747194568
Nana beauty :
Nikweli
2026-09-12 08:27:06
0
asili_yangu
MDUMULIYINYI® :
Mfumo wa kukusanya saut haujawekwa ili uzipeleke hizo taarifa mahali flan hpn umewekwa ili ukusaidie wewe kurahisisha matumizi… ni kama mečidizzy bez wanamfumo wa kuku sikiliza wewe na kufanya unachotaka while ukiwa kwenye gari but si kweli kwamba huo mfumo ukishakusikiliza wewe huwa unachukua hayo na kuyapeleka kwa wamiliki wa hiyo kampun ya magari NO!😂😂😂
2026-09-12 23:38:23
0
user1613594250378
Sally.🇰🇪♥️ :
nikweli kabisa
2026-09-12 10:18:38
0
washawasha016
Atitiy :
ndo maana put in. kila kitu anatumia cha kwake
2026-09-12 04:25:29
0
To see more videos from user @matekawa3, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About