@jonstarofficial: Baada ya maoni kuwa mengi, ITV imeleta tena lile igizo bora la miaka hiyoooo "MAMBO HAYO" Sasa tuanze wote pamoja kuanzia episode 1 mpaka linaisha. 🟩🟨🟦 Jumamosi Saa: 3:15 Usiku Jumapili Saa: 1:15 Usiku #SisiTumeanza #Daima #nostalgia
Delvis Kasaloo
Region: TZ
Thursday 10 September 2026 08:46:31 GMT
Music
Download
Comments
Grand Marriott Enterprises :
25 years ago
2026-09-10 18:48:36
1
MR.sᴍɪʟᴇ 😊 :
dah maisha yajo kas sanaa
2026-09-10 12:47:29
4
222 :
warudishe na Tausi
2026-09-10 11:12:53
3
Dosho Catarias :
Yani mpaka Leo sijampata Mke c aibu hii😀😀
2026-09-10 20:30:33
1
Bro Millennium :
Wakikosa cha kutuwekea wanarudia maigizo kwa kigezo cha maoni yamekuwa mengi.
2026-09-10 10:56:54
4
shiloh3344 :
Linaonyesha lini na saa ngapi
2026-09-10 13:49:24
1
Mr Professional Curl :
afadhari mlionisahau mnikumbuke tena🙏
2026-09-10 10:39:58
7
shayo Jackson :
tuma maoni yako kuhusu kipindi hiki kupitia Facebook itv Tanzania 😂
2026-09-10 15:35:12
1
user3524050925192 :
igizo linaitwa USIKU WA GIZA👊👊🙏
2026-09-10 11:07:15
1
ابو عاطف :
Hii inanikumbusha kuwa sasa nimekua na nastahiki kuzidi kutuliza akili
2026-09-10 19:38:41
1
Smigo :
tunaomba na Tausi
2026-09-10 14:35:44
3
Harlem :
...hii era mnaagalia hizi maigizo kupitia madirisha ya kwa wenyewe😂😂
2026-09-10 13:46:36
1
sarawenslaus :
jmn umenikumbusha mbali
2026-09-10 17:48:53
1
Mo brand photo :
dah
2026-09-10 15:08:45
1
Lizzy Shantiwa :
Mbona wahaya wote
2026-09-10 16:00:36
1
kelvn mayoko :
naikumbuka mbali ushakula chakulaa saa mbili dah maisha hayaa ban
2026-09-10 14:10:21
2
K트VIN :
na TAUSI PIA LIRUDI
2026-09-10 16:53:33
1
kenyaboyjr :
BASI TUWASHAULI WALUDISHE NA UMRI WETU ULUDI VILE VILE KAMA ICHO TULIVYOKUWA TUNAANGALIA
2026-09-10 18:52:30
1
tinah tanah :
☺️☺️zaman rah jmn
2026-09-10 11:39:50
1
fahari :
wale ambao hatukutoa maoni like hapa🤣🤣
2026-09-10 13:36:02
1
Damijo :
Daah mama Abdul RIP
2026-09-10 12:20:17
1
Stiba Nyasi :
Tuleteeni na maigizo mengine ya zamani kaole sanaa group pamoja na mengine mengi maana tumeyamisi
2026-09-10 10:24:42
2
Jamila cute 😍 :
me naombn mnilushia humu kwny Itv naon mbl
2026-09-10 12:11:59
0
abdulqadirkibassa :
NIPO DARASA LA SABA TUMEZEEKA BISHANGA WARID ,RICHI JB ,DILLE ,CARLO,
2026-09-10 17:53:11
1
MUJTABAH🧠 :
kitambo sana🤣
2026-09-10 10:52:52
1
To see more videos from user @jonstarofficial, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.