God be with you in the condition you pass in,I know you missed the ball tan normal
2026-09-10 11:07:38
0
marry saloon :
Leo nimefrahi sna kmuona pacome anaendeleaje kuimarika
2026-09-10 09:19:42
30
tee hynah💗💕 :
daaah pacome wetu mungu akuponye haraka jmn
2026-09-10 09:35:02
8
ney yanga 💚💚💚💚💚💯💯 :
daaah pole fundi wa mpiran
2026-09-10 11:51:59
0
Kasa Shabanl :
get well soon pacome 💚 💛 💚 💛 💚 yanga bingwa
2026-09-10 11:02:38
0
Hujason :
get well soon 🙏
2026-09-10 10:15:48
0
yuzzyjay :
mungu akusaidie upone haraka fundi wetu wa mpira na urejee kwenye utimamu wa afya yako kama awali
2026-09-10 09:20:55
10
chrispatient :
nimejihisi aman sana kumuona kama anaendelea vzri na bahati njema yanga wanamoyo wa kuendelea kuusimamia kwenye matibabu na kupenda kama zaman japo naona pengo lake Bado lipo kabisa kwa machi za kimataifa
2026-09-10 09:46:39
4
El Saad 67 :
utapona tuuuu ni swala la muda tuuu isijali ajali kazini baba☺️
2026-09-10 09:26:33
6
user5499591914192 :
du ata kama sio mwanasimba Ila inaniuma sana
2026-09-10 10:05:39
4
mwalim makata :
Allah akuponye mapema streca wa boll love brother
2026-09-10 09:02:57
2
h@ppy💚🇹🇿💫 :
inshallah mefrai kukuona kaka ang🙏🙏
2026-09-10 09:10:44
2
agia :
Inshaallah Mungu ni mwema wakati wote , Nimefurahi kumuona pacome💚💛💚💛💪
2026-09-10 09:06:35
4
paliti :
asante mungu kwakuwa wewe sio binadam love yuo💘💘💘💘
2026-09-10 09:36:12
1
Faustin :
ndo namuona leo tena akiwa amesimama thank you jesus
2026-09-10 09:27:16
2
minahkimm :
pole pacome
2026-09-10 09:07:44
0
samwell Benjamin Margwe :
mungu ni mwema pole san
2026-09-10 13:05:47
0
fugo,mkariwao,tz :
poresana,pacom
2026-09-10 13:19:15
0
Tumain 29 :
nnafraaa jamani sjui nimwambie nin mungu zaidi ya asante mimi daaah