@mbagaboytz: Inapangishwa: chanika nyeburu DSM Hapa kuna nyumba aina 2 APARTMENTS (3 FAMILY) Vyumba vi3 kimoja self Sitting & dining Kitchen Toilet public 400k×6 Vyumba viwili kimoja self Sitting & kitchen Toilet public 250k×6 Location (chanika nyeburu) Water tank 24 hrs Luku peke yako Mtaa tulivu sana **************** Service charge 20k Contact 0625521465 whtsp & call 0714617893 Malipo ya Mbaga ni mwezi (1)