@am_mjombawachu01: Africa Yaongezwa Ukubwa 😃😃😃😃😃😀🙌🙌🙌🙌🙌🙌#Worldwide #Viral #Walimwengu #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪

𝙈𝙟𝙤𝙢𝙗𝙖 𝙒𝙖𝙘𝙝𝙪𝙤🎓
𝙈𝙟𝙤𝙢𝙗𝙖 𝙒𝙖𝙘𝙝𝙪𝙤🎓
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 10 September 2026 09:21:07 GMT
170870
16391
275
387

Music

Download

Comments

askedpageon
SWIMMING WEAR :
Ndo maan nimejikuta Morogoro nililal mbagala
2026-09-10 10:24:35
194
najmanyange382
Naytham :
ehhh mtume tmekwish ss
2026-09-12 16:26:33
0
catrinah85971
catrinah :
wana prove continental drift theory sio
2026-09-12 11:31:20
0
user5095262595560
sparrow :
haàaaaa
2026-09-12 12:59:02
0
enock.john21
Enock John :
bora nilimaliza mapema kusoma nisingeweza kuichora
2026-09-10 11:50:55
78
nicholaschacha495
Nicklux :
hii ramani mpya nilikuwa naichora shuleni mwalimu anasema nimeikosea hakujuwa kuwa nilikuwa mbele ya mda sasa aibu anaona yeye
2026-09-11 20:08:27
21
amos_bujen
amos_ bujen :
nchi yangu itapandisha nauli kisa raman
2026-09-10 10:19:59
20
8anayah8
🦋🦋Anaayah :
itakuwa hii hii tz ila imetoboka🥺🥺
2026-09-10 15:10:01
10
jabiryothman
Jabiry Othman :
af kwenye mtihani wa history nilikua nachola hi ndefu af nakosa ss naenda kidai max zangu
2026-09-11 11:23:17
8
costancie7
Costancie💞 :
mtihani lazima tufeli🤣🤣
2026-09-10 11:38:06
9
user0752433608ibra
ibra-mafulu..tz :
hii ni maajabu
2026-09-10 19:13:49
5
p2912571
Yona🥰 :
fanyeni mnavyofanya ila msitutenganishe na na @kenya
2026-09-10 20:42:50
6
jesticvibes13
Full moon♒🌝🌙 :
Kwani kweli Tanzania ziko mbili 🥹
2026-09-10 10:19:44
7
rey.q25
J boy :
Wametuibia bhana
2026-09-10 09:29:20
5
subbe036
👉SAJJIZ👈 Tallman🥸 :
ndomaana leo nimeendesha gali kutoka kigamboni mpka bagamoyo nikaona imekuwa safar ndefu kuliko siku zote🤣😂🤣🤣😂
2026-09-10 18:14:28
5
rick.nail.beauty
Rick nail beauty :
Kwan Tanzania ndo bongo au???
2026-09-10 18:23:51
7
kakahusseni
KAKA----HUSSENI 🔥🔥 :
ikifi 10 tuambuzane sasa
2026-09-10 09:29:01
6
raymondhaji
Raymond Haji :
i m fine 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mbon tanzania
2026-09-10 16:17:01
1
vailyfrank67
vaily frank💖 :
Tanzania kusini na kaskazini
2026-09-10 11:21:28
6
aylaatz
Aylaa 💥 :
Ndio mana kodi yangu imeisha haraka kumbe hatupo tena tanzania 😳
2026-09-10 21:44:15
6
nillahbell
Vê🫀MüSøMå🤝 :
Sasa mm nitachora nn kweny exam
2026-09-11 09:27:10
2
ezacekaposo
MUSACHI FORCE💪💪 :
kivipi
2026-09-11 17:31:31
1
renaldanikas
R££🌹💞 :
Nachoka mimi😁😁😁
2026-09-11 18:43:55
1
mic.haran
Mic Haran :
Scrambel for and partition of Africa is baq kwa kasi 😅😅 hadi Tanzania zipo mbili sijui tupo ipi
2026-09-11 23:08:51
1
mgumuboy8
mgumu boy :
Kaka 2me nchi
2026-09-10 14:18:11
1
To see more videos from user @am_mjombawachu01, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About