@callmemikebless: ukiwa kama mshauri wa ndoa na mausiano tatua hii kesi kama huna D2 uwezi elewa 😂🤣🤣#creatorsearchinsights #tanzaniacomedy #makethisviral #foryoupage #mostviralfunnyvideo @Mr.zero✊

🌴👑MIKE BLESS07💎🔥💥
🌴👑MIKE BLESS07💎🔥💥
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 10 September 2026 09:28:32 GMT
63888
2434
132
726

Music

Download

Comments

seifbausi4
seif Bausi :
kizungu sielewi ila hii naielewa kiundani😁😁😁
2026-09-10 10:21:19
41
user6161614253018
Elizbeti jonh :
😂😂😂😂 who watched this in night I lough so loud
2026-09-10 19:54:02
0
joseph.shirima31
Joseph Shirima :
sijui kingereza lakin nimeelewa kuliko waingereza wenyewe😁
2026-09-10 12:12:34
15
user29501774377701
muhammadi abdallah :
yani apa japo kimetumika kingeleza ila ata wasukuma tumeelewa
2026-09-10 11:22:25
15
hidayahidaya983
hidaya hidaya♐️ :
unajua nacheka kwanini
2026-09-10 16:41:02
6
mary.mumalu.mland
Mary Mumalu mlandi :
🤣🤣🤣🤣🤣goodnight like this
2026-09-10 18:41:25
0
bigsound745
bigsound :
what is this😂😂
2026-09-10 18:33:27
0
user2798616510322
kidoti :
nimeelewa kwa vitendo inatosha sitaki tena😂😂 kuelewa zaidi
2026-09-10 15:13:20
3
celine.shirima
shirimaceline :
nikweli kabisa hatujui kusoma hata picha tushindwe kuona😂😂😂😂
2026-09-10 16:57:28
6
stephenenea1
kinghenry :
game on 😂😂😂
2026-09-10 16:41:02
0
dulahdula1
dula h dula :
hahahahahahaaaaaaaaa
2026-09-10 16:52:39
0
ozaa.mboya4
sand.d jr :
game over
2026-09-10 15:21:47
1
naice.marandu7
naice marandu :
Kama Ndoa ni mzuri mashaidi wa nin 😂😂
2026-09-10 14:27:00
4
dottomasanja233
MASANJA OG :
😂😂😂kesi ngumu hiyoo🤣
2026-09-10 15:56:21
1
nazminaactress
❤️Nazmina🦋🦋 :
Hii haina haja ya kujuwa kingereza😂😂
2026-09-10 14:30:39
2
user66691575176142
M@D@M R○$€M@R¥ :
Ahahahahaha Kwa Kweli Hiii Ni Maajabu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-10 18:26:51
1
097stan
Jonathan :
hii ni maajabu
2026-09-10 18:28:46
1
vick8191
@vick :
kesi ishakua ngumu
2026-09-10 16:04:01
1
hassan.gunguti
Hassan Gunguti :
tumemuelewa 😂😂😂
2026-09-10 15:09:01
1
ck.badex1
ADVENTURE ZONE MARA :
tatizo n kwamba kila mtu anatetea upande wake
2026-09-10 14:28:35
2
r.esily
RUMMYONCE🩵 :
Muachane
2026-09-10 14:59:52
1
firstbornwrong1
️Ave cute❤️‍🔥😘😘😘😘 :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimecheka kwa sauti Sana n kutukana juuu
2026-09-10 14:42:14
1
nunu44137
nunu :
msulishaji kaeka mkono kabis😂😂
2026-09-10 12:04:31
1
ziada.milinga
Ziada Milinga :
wanangu wananiuliza sa mama unacheka nini mpaka machozi yanatoka nimeshindwa hata kula utumbo wakuku hapa
2026-09-10 16:37:21
1
To see more videos from user @callmemikebless, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About