@ared.properties: Usiache kiwanja chako bila kumilikishwa kwa sababu ya gharama. Unaweza kuanza mchakato kwa hatua, kulingana na uwezo wako. ARED Properties tunakusaidia katika mchakato wa upimaji na umilikishaji wa ardhi yako. Wasiliana nasi leo tukusaidie kuanza hatua sahihi. 📞 Simu/WhatsApp: +255 679 426 108 @Keha edson