@dj_zombie2626: KWANI JUMATATU TULIIKOSEA NINI🤝🤝💔💔💔😂@waynebrizzy @Mr Smile @Alice_store&Nightware @monah💞 actress💘💞 @B.O.B @🌸Aurettle🦋💕 @FRESH BOY 💫🥰🫂 @lastbornvee @Chibu Dengaah🌴☔ @IFM ICON😎 #mondaybelike #funnyvideos #tranding #foryou #creatorsearchinsights

ZOMBIE_BACKUP
ZOMBIE_BACKUP
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 10 September 2026 10:01:12 GMT
15790
574
95
39

Music

Download

Comments

user63324029210355
Africa Hopoe💗 :
watu mpaka wakaiita blue Monday lakin waaapiii[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-11 11:23:15
2
yasinta.nyagea
Yasinta Nyagea :
ila kusoma kaz jamn [Big LOL]
2026-09-11 09:58:44
1
neema4951
Neema🌹♥️ :
hiyo sio blue Monday ni black ⚫️monday wallah 😅😅
2026-09-11 10:38:59
2
user4666032639577
The lost woman :
hasa ukiwa unasoma🤣🤣 weee
2026-09-11 15:27:29
2
mimahnassy0
Mimahnassy💕🌹 :
Nauza wivu
2026-09-10 18:23:13
1
etty.06
Na_bi🦋🫧❤️ :
Hmna jumanne ndo siku ndefu😂😂
2026-09-10 17:29:53
5
user99512727214
Winnie💖💖 :
j4 na alhamis yooh hiz siku nafikir zinamasaa zaidi ya 24🙌🙌🙌
2026-09-11 20:28:40
1
zamzam00374
zamzam00374 :
J 3 inasifa km x wang😂😂😂
2026-09-11 17:51:29
1
mwamba4715
Mwamba🤭 :
JUMATATU imekaa kw kukomoana
2026-09-11 06:47:57
2
hellenalu
mwana nchi🔐🔐🔐🧡 :
yaan hakuna sku nisyo ipenda kama juma tatu🥺
2026-09-11 20:16:06
1
teddy.kasonta
Teddy Kasonta :
yani jumatatu nisikuambayo hata kazini uwanahisi nateswa na boss 😄😄😄😄
2026-09-11 13:57:25
1
delmontezmimo2019
😍RuxwaSwash🥰😘 :
😅🤣🤣🤣🤣🤣😂wallai tna
2026-09-10 13:25:06
1
venny_officially9
Venny_Officially99 :
Kwa wale sales siku ukiuza ukafika target siku aziendi kabs ngoja usiuze sasa masaa yanaend kama yamechanganyikiwa😂😂
2026-09-10 19:10:38
1
furahini_vannice
furahini vannice :
ila jtatu nachoka mm😂😂
2026-09-10 13:18:50
1
amymsuya4
mimi💔💔 :
haaaaa 😂
2026-09-10 15:39:15
1
kassimudaugher.001
吉安娜💜 :
hapo jumatatu ungelala🤣🤣
2026-09-10 16:33:54
1
sharene18
🦋 sharene 🦋 :
😂😂😂 mbona jpili sijaonaa😂😂😂
2026-09-10 14:22:23
2
dj_zombie2626
ZOMBIE_BACKUP :
inatitwa JUMATATU 😂😂💔
2026-09-10 10:02:26
3
renim378
reyn@🎀 :
😆😆 kabisaaaa yaan n ivo ivoooo kwakwel heeeee
2026-09-10 13:36:23
1
user4915194730986
Nãi ça :
usiombe ukawa shule ndo siku inayo ongoza kuwa na vipindi ving .chem.phy.bio.hist.geo.eng.kisw.alaf solo la mwish kabisa jion mathe oyaa
2026-09-10 18:56:01
1
skylerleonel5
MISS KALUGENDO🇨🇩 :
ilaa jumatatu
2026-09-10 19:57:04
2
deokmoneysagramsi
Deokmoney sagramsing'hy ✅️🇹🇿 :
jumanne na alhamis ndo siku ndefu zaidi katika wiki
2026-09-10 17:17:56
1
To see more videos from user @dj_zombie2626, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About