pacome Allah akufanyie wepesi upone haraka bro bado tunakuhitaji sana tunakupenda pia wananchi
2026-09-10 10:47:50
64
grow with sas beauty🥰🥰 :
wakunisaidia tafsili ya hayo maneno kweny tishet
2026-09-10 11:09:57
17
M BEBA RAWAMA 🌏🌍🪐 :
Wanangu akipona ataweza kukimbiza kama zamani au atacheza kwa uoga mwingi bado najiuliza haya maswali
2026-09-10 11:13:38
15
Emamark :
tumekumis sn fund wa ball
2026-09-10 10:51:10
7
Rey_cosmety :
Daima mbele nyuma mwiko💪
2026-09-10 10:39:05
34
AG7 :
sio kwa ajili ya mapenzi na timu ila kama mwanasoka na utu, Mungu ampe recovery ya mapema.💪
2026-09-10 10:49:46
28
Teddy Alfredy Music Official :
Aliyemvunja mguu anajialaumu sana 😭😭
2026-09-10 10:43:17
22
Sophia🦋🌸 :
Mungu akutie nguvu pacome wetu 💛💛💛💚💛🥰
2026-09-10 10:44:03
22
abduliyahaya356 :
ukweli Mimi Sina ushabiki na yanga ila namkubali sana pacome naumia sana kwa kipindi kigum anachokipitia namuombea Dua awe saw japo cna uhakika kama atakuwa Tena kwenye peach maana jeraha amepata sehem mbaya sana.god bless pacome thanks
2026-09-10 11:19:59
9
Dee_Clever OG. :
mwamba roho inamuuma mpaka mishipa imekazaa god bless u mamen🥺🥺🥺
2026-09-10 11:26:36
18
KIDDPAP 48🔏 :
I need to get my bread up😂😂.
2026-09-10 12:42:36
2
kaijage once again :
MUNGU ni mwema professor anaponaa
2026-09-10 11:11:05
4
SWEYA JR10 :
Very soon you will be okay pacome god bless you
2026-09-10 10:49:43
4
𝙔𝙊𝙐𝙉𝙂 𝙈𝙀𝘾𝙃𝘼𝙉𝙄𝘾 :
No ones know tomorrow 🙏🙏🙏
2026-09-10 12:16:04
2
Ronaldinho :
tunaomba sana kwa Allah akufanyie wepesi upone haraka professor
2026-09-10 11:04:55
8
Amour 002 :
mungu Amuongoze Apone mapema PCM wetu
2026-09-10 10:49:34
6
Aziza Said :
😭😭 binafsi machozi yamenitoka
Nakuombea Kwa mungu uimarike haraka sna pacome
daima mbele nyuma mwiko
2026-09-10 10:47:05
6
zuucuty🌹 :
Utapona tu usijal profesa wetu
2026-09-10 11:07:45
3
COLLISO09 :
I love yanga
2026-09-10 10:55:59
1
Mozeee👍 :
Me ni simba lakini namuombea huyu jamaa apone haraka aendeleze karia yake
2026-09-10 11:51:34
2
Akramu Razaki :
2026-09-10 10:39:30
3
Noel :
mm shabiki wa Simba ila tukirudi kwenye ubinadam na sehemu unayotafutia ugali daaa ukienda kuanglia hiyo sehemu ukakuta wenzako aise machozi lazima yakutoke Mungu atakuponya urudi kutafuta ugali wako kka tunamini hivo
2026-09-10 13:13:11
2
sef ⛎ :
no 1 today
2026-09-10 10:38:55
2
To see more videos from user @youngafricansscofficial, please go to the Tikwm
homepage.