@miss_adam03: #foryoupage❤️❤️ #foryoupage #fypシ #fyp #foryou

Bycola Adam
Bycola Adam
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 10 September 2026 10:59:15 GMT
44540
2637
511
63

Music

Download

Comments

georgehamisi
Gee Tz :
utuambie tu ni mahakama Gani ili tuje
2026-09-10 11:25:59
37
naima.rashid.mwam
Naima Mwambe :
Yaarab nakuomba muhifadhi bint yangu huyu dhid ya mahasidi wa nchi hii Amiin
2026-09-10 12:25:35
41
shy._7
@BJ....👌🌹 :
tuko pamoja CCM oyeeee
2026-09-10 11:44:26
23
mbano.mrage3
Mbano Mrage :
CCM Daima mbele kwa Mbeleee
2026-09-10 15:27:04
34
judith.maseke0
Ma Calvin :
Mwanasheria wako yupo imara huwezi kujiamini hivyo😁😁
2026-09-10 16:17:33
7
user1480084995545
[email protected] :
Nakombea kher dada etu
2026-09-10 11:18:49
10
yeye_eh
yeye_eh :
Akimaliza mgeuzie kibao, mfungulie kesi ya ubadhirifu mali za umma, in short mfungulie kesi ya uhujumu uchumi asipate dhamana mpaka kieleweke🤣 hela zetu za mboga arudishe!
2026-09-10 16:46:37
5
abuu4522
Abuu :
Nipo na wewe dada
2026-09-10 12:37:35
14
zahramotto
👑Zahra Zahra💞🌹 :
umewazid😂😂
2026-09-10 11:07:25
12
ammywingu795
ammywingu795 :
Wasichokijuwa hapa sasa wanakupa Promotion dada la taifa
2026-09-10 12:48:13
6
officialshuu42
official-shuu💞💞 :
yaan watafanya watu wakufahamu zaidi, da bycola Allah akutangulie kila la kheri
2026-09-10 12:04:32
10
jelly_fish287
jellyfish :
mungu atakusimamia insha'Allah
2026-09-10 13:54:35
7
payaar.pomi
Payaar Pomi :
mungu akutetetee mzalendo wetu
2026-09-10 11:14:00
10
hassan.omar625
Hassan Omar :
waambie unawenzio nao mmoja ni mimi ila kwanza Anna atupe mboga yetu alio ibeba ugari ndio huu
2026-09-10 14:04:01
6
chwakatz
Chwakatz :
dada wa taifa
2026-09-10 11:04:02
8
user3228419315906
zalha Aq-mar🪷 :
Bycola juzi nimekuona bandarini zanzibar umenikera hujaweka iyo liptick yako me naipenda 🥰😁😁 usinichambe me shabiki yko
2026-09-10 14:06:42
5
user469262068417
𝔸𝕣𝕠𝕪𝕔𝕖👊 :
Dada wa taifa🥰
2026-09-10 14:37:55
7
addy.victor8
addy victor 🦋 :
Na ukawaambie Hivi hao wanao sema ni kesi ya kisiasa ya babu yetu hiyo kisiasa yenyewe ina mruhusu aanzishe uasi kisa ni siasa😂😂😂😂😂
2026-09-10 14:12:23
7
user106934374902
user106934374902 :
tupo pamoja hadi mwisho
2026-09-10 11:55:15
5
7awa63
7awa :
tutakuja mahakamani atakama atujawahi Kuja umoja ni nguvu
2026-09-10 11:14:08
6
joseph.morandi
Joseph Morandi :
poatu niaje apo
2026-09-12 00:38:48
1
abdulhamid.alabry
Abdulhamid Al'abry :
anataka awe Rais kama trump
2026-09-11 14:23:51
1
sule20248
sule2024 :
usijali hawakuwezi
2026-09-12 02:39:32
1
mwana.harusi
Mwana Harusi :
mungu akutangulie
2026-09-11 03:47:53
1
To see more videos from user @miss_adam03, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About