mwingine haha tonsillitis lakini immediately after brushing comes bad breath..pls help
2026-09-10 19:25:26
3
wangari Rozzie :
sema uwa tunanuka pupuu😅😅am a victim
2026-09-10 15:07:38
64
jedwambui :
am always chewing doc from morning to evening aki hii tonsil stone ni mbaya i take 3 litres brush and gargle with salty water yet they dont disappear
2026-09-10 17:49:57
24
🌻Hanta💝 :
Mtu anaweza jua ako na bad breath?Cz mimi huskia when sth is off with my mouth
2026-09-18 22:31:35
0
°`M.M.G🌹 :
next time si uongee kuhusu sinuses please
2026-09-10 11:32:43
14
❤️ slimy ✨🦋❤️ :
mi hukua nazo bt zikitoka nazimimida nanukia🤣nko normal kweli🤣🤣
2026-09-11 10:08:05
22
njuguna lucy💜 :
i had the same problem with tonsil stones , nkaanza kutumiq "derbul " tooth paste , hizo tuvitu ni history kwa sasa
2026-09-11 04:53:03
9
zena the 2nd :
the moment I take cold water,,hizi nilifinya na kidole zikatoka I'm dying slowly 😭
2026-09-11 02:13:48
8
battalion tribe :
my son amekua nazo on and off,saa ii Hana but ukiangalia uko Kwa throat kunakaa kumefura ,,should I get worried or what should I do
2026-09-10 11:26:53
7
Mine.TJ✌️❤️💯 :
Mimi zilinisumbua for more than 20yrs ilibidi nitolewe last year
2026-09-10 19:52:56
3
Nurse Selly Ingrid 💉🥼💊 :
Watching while having tonsils but I don't have bad breath
2026-09-12 11:52:51
1
Sunvera Scott :
na mtoto wa 6 yrs please.
2026-09-10 20:18:53
3
sueh shikx🇰🇪🇰🇪 :
mimi zinaisha zikirudi karibu kila mwezi😩
2026-09-10 20:39:09
6
Maitu wa Rugongo 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 :
Mimi nimejaribu kila kitu umesema doc but still ziko, l hate them so much, kitu sifanyi ni kunywa maji mingi hiyo sitadanganya. Thinking of tonsillectomy
2026-09-10 16:20:35
15
Ong'uti :
Mine comes when I take too much sugar na nikiacha zinapotea zenyewe
2026-09-10 20:17:36
11
Rozna 003 :
sasa zinatolewa je am zinaweza katwa hizo tonsil stones
2026-09-10 16:37:15
3
Bossy Mtoto😎 :
I used to have recurring tonsils na kuna injection tatu nilipigwa na hivyo ndio ziliisha
2026-09-10 22:52:42
4
Gichaba de Scrutinizer :
na vile mnasema hivi si kila mtu ako nazo basi, na mbona kitambo people dint brush their teeth na hakukua n hizi vitu? what has now happened?
2026-09-10 19:09:45
5
taliadiva :
Mimi nilizifinya zikatoka zijai rudi
2026-09-10 18:26:23
0
nimoo :
daktari I have a question my 28 year old man alianza kukojoa kwa bed juzi na hapo nyuma hakua anakojoa,,what could be the problem please?
2026-09-11 00:56:53
0
nderi :
thank you sweetie,,, what can I do to stop snoring while sleeping
2026-09-11 19:12:13
0
Kate Walicho :
Jossy why can't you quit nursing and become a teacher at once😳
The way you make someone understand your lessons, Wallah it's so amazing🌹
2026-09-13 06:13:02
5
🩵 :
omg nimetoa sai sai😭
2026-09-10 20:01:41
4
MBAIRE :
yangu hutokea kwa mapua, mdomo Haina shida, but Kuna kaharufu Fulani naiskiaga kwa mapua. kindly assist
2026-09-10 16:14:59
4
@eva_frank :
mtoto wangu na mtoanga earbuds alafu ku gurgle imekuwa our routine harafu iliisha
2026-09-11 04:56:36
0
To see more videos from user @josthenurse, please go to the Tikwm
homepage.