@hubofwisdom.inc: "Miaka 19 iliyopita kuna kazi hazikuwepo kabisa, miaka michache ijayo kuna vingi ambayo leo havipo utakutana navyo, kwahiyo usipojiendelea utajikuta umeondolewa kwenye soko." Anasema Dr. Joel Nanauka "Tunaishi katika ulimwengu ambao kuwekeza kwenye maarifa sio starehe, ni lazima." Tuandikie maoni yako kwenye comment section @hubofwisdom.inc au tuma neno WISDOM kwenda namba 0753825794 kujiunga na mijadala katika kundi letu la WhatsApp au tembelea tovuti yetu www.hubofwisdom.com/media ............................................................. #JoelNanauka #Maarifa #Wisdom #HWTv #HubOfWisdom
Kazi za kilimo na ufugaji ni hot cakes tangu kuumbwa kwa Dunia; ni bora sasa, na kazi hizi zitazidi kuwa bora hadi mwisho wa Dunia. Amini, Ami ni nawaambieni
2026-09-10 14:39:24
6
WATHAMANI SIWANI UJENZI1313 :
Wateja tunaowagombania ni hao hao
2026-09-10 13:59:47
0
Majeshi Bahati :
Akili ya mwaka wa mbele
2026-09-10 15:41:43
1
EDIGA YOU🧎♂️ :
Kusajili laini 😂
2026-09-10 16:34:55
1
JULIUS THE GREAT :
wajuaji wanakuelewa basi mkuu...😏
2026-09-10 14:50:26
2
bei nafuu fashion :
muhimu hapa niwe na ujuzi tofauti tofauti nisilale njaa.😂😂😂
2026-09-10 16:55:56
0
Richard Missa :
Appreciated Mh.Waziri kwa elimu dunia.
2026-09-10 15:59:11
1
Theo :
new China is roaring
2026-09-10 12:44:43
3
patrick_mindfullness :
siwez shauriwa na African politician
2026-09-10 14:00:52
2
bollolifestyle :
🫡🙏🏾
2026-09-10 12:22:01
1
THE REAL TALK ROOM 🎙️ :
💪💪💪
2026-09-10 13:58:10
0
To see more videos from user @hubofwisdom.inc, please go to the Tikwm
homepage.