@wahenga255:

OUTCOMES
OUTCOMES
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 10 September 2026 11:49:23 GMT
144984
6657
612
1080

Music

Download

Comments

user5576193791834
MPENDWA WA BWANA :
ndio maana MUNGU anataka tujistiri moyo sio mwili kuvaa magubigubi
2026-09-10 13:58:45
253
octavian7058
Nick: fix fox :
kanaongea vizurii jamn mtalipa jamn msikazalilixhe kapenzii kangu[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-10 20:03:03
0
chimagy8206
😜chimagy💦🤘💫 :
Ila dini haijasema tuzalilishane dad
2026-09-10 18:19:21
40
msafiri8deez
Deez@94 :
am proud to be mpo hapa
2026-09-10 17:55:13
11
pretty.gl
pretty _p@nther 🐯 :
natafuta Ile comment ya am proud to be.....
2026-09-10 18:15:20
6
joycekasunga
joycekasunga :
Proud to be
2026-09-10 19:27:09
0
mohhamedmasruri1
Mohhamed Masrur :
afu mzuri mweupe [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-10 13:26:10
46
user5963443827184
mrs hussein org :
ila uislamu unasema kila atakaye shidwa kumstiri kwa aibu binadamu mwenzie basi nae mungu atamuumbua siku ya hukumu ,
2026-09-10 14:53:43
86
faudhia.mohamed29
Faudhia Mohamed :
dini inasema kuiba dhambi kwann mnacomment kumtetea?
2026-09-10 19:35:12
9
doricewilliam0
doricewilliam817 :
tatizo wanaume zetu bair jamn awatuhudumii
2026-09-10 14:47:28
29
saidat428
Saidat :
muacheni Maskin anatia huruma
2026-09-10 13:27:49
39
sweatashiiiii
Ashi mashauzi :
nyie mnaomtangaza ndo mnamzalilisha so vizul kutia aibu ya mwezak Kam ushajua muachen so vzul uwez jua kilichompat pak kaiba😭😭😭😭
2026-09-10 18:43:36
11
abdulhalday279
abdulhalday279 :
Muulizeni shida ni nini, mjaribu kumsaidia kama Binadamu na Muislamu mwenzetu,Mo Salah aliwahi kuibiwa mwizi akakamatwa baada ya kumhoji vya kutosha alimsaidia mtaji na leo anajitegemea..Allah awape Subra In Shaa Allah
2026-09-10 17:31:10
11
fursanamohamedy
Fursana Mohamedy :
mm sjapenda mlivomfanyia huyodada
2026-09-10 14:18:12
27
estherjulius375
Esther Julius ndege :
namshukuru Mungu kuzaliwa mkiristo
2026-09-10 18:15:04
5
tecykambona2
thecla🍫 :
af ana rangi nzuriiii
2026-09-10 14:18:29
7
depay4name
🫴.. Depay 4..😷 :
Saw mwizi ila kueni na stara bas sio kila kosa una liweka hazaran kila mtu kuteleza ni wajibu jaribuni kuficha aibu ya mwenzio ata kam inauma, kwan sisi tuna mkosea mangap mungu na haja ya weka bayan kila mtu akaon stara muhim life hali fanani sister
2026-09-10 18:42:36
8
user3451949038049
kenny45✊️ :
nipen namba zake nisha mpenda mm
2026-09-10 13:12:52
11
love69birs
first lady :
wizi ni tabia unaeza kuta ana mume na hana shida za kivileee jaman mungu epusha vizaz vyetu na hizi tabia
2026-09-10 14:07:10
14
miriamanderson72
miriam :
mmekosea sana kutokumuonyesha suraa
2026-09-10 14:24:55
10
rasuligullah
Gideon48 :
huyo hawezi kuwa mwizi ni content
2026-09-10 14:55:12
10
arooonmahinda
arooonmahinda :
mbona wengi tu😧😧😧😧
2026-09-10 19:53:18
3
aminambaruk825
emmy❤️‍🔥 :
Kwan mtu hawez kurizika na hali yake man ivo alivo vyote hamna man
2026-09-10 19:29:01
1
To see more videos from user @wahenga255, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About