mapenzi SHKAMOO ndio maana mi mpaka saizi moyo wangu haujui unampenda nani
2026-09-12 06:32:19
624
mama wawilli :
🤣🤣🤣🤣 napenda kuona wa2 wanateseka na mapenzi
2026-09-11 08:54:15
452
kareem :
my sister please stop crying God gonna be with you
2026-09-19 16:52:01
0
@Dreams :
Would she accept me
2026-09-20 11:01:27
0
da huu🥰🥰🥰 :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]ila mapenzii shikamoo
2026-09-19 14:10:18
1
Baby Girl💞 :
ila ukweli mm siwez kurudiana na x
2026-09-11 15:09:17
133
mr's g💖💖❤️🩹💍 :
pole jamna
2026-09-20 11:46:20
0
🦋🦋Tonyela✨💫 :
tuliokimbilia kwenye comment tujuane apa Kwa like
2026-09-12 15:46:11
177
Mariana Donarld :
sitaki kukumbuka maumivu ya kipindi hicho, nilifanana na mgonjwa wa ukimwi wa zama za nyuma, nywele zilinyonyoka kila wakati kulia, ila Mungu mwacheni abaki kuwa Mungu, toka pale nilivyoweza kumsahau yule pepo, ckuwahi kumlilia mtu tena.
2026-09-11 17:55:58
164
loveness :
Pole sister
2026-09-20 18:02:15
0
mommy abubakary🥰 :
mmhhhh 🙌
2026-09-19 12:08:04
0
Latifa Hassan :
huu ungonjwa utamtesa kila mtu kwa wakat wake
2026-09-12 20:30:48
52
Omugonzibwa :
muache alie mimi nililia hadi nikawa staki hata kuoga kwa sababu ya mapenzi
2026-09-12 13:32:23
51
mama Israel :
mapezi wewe please [Pray] God i don't no kajala but just bless her with peace in her heart heal those pains make her strong like never and happy
2026-09-13 22:46:27
0
lilboygmail.com :
Y’a quelqu’un qui écrit français la ??
2026-09-12 02:18:13
16
mamu mkongo :
Kila penzi litaonja mauti
2026-09-11 18:10:48
45
vivian :
Mm mapenzi sio vitu vyangu 😂🤣
2026-09-12 10:26:43
20
leonardgullata :
Mm sitaraji kulizwa na mapnz nalinzwa na pesa siyo mapenz nishajipanga
2026-09-13 19:33:54
13
deigratius :
ninavyo jua mim kilamtu atateseka kwa mda wake...
2026-09-12 10:36:29
8
Mrs m :
nilijua ukishaitwa bibi huumizwi tena n mapenzi😁
2026-09-11 14:33:30
5
Mariana🦋🦋 :
Mapenzi kilio uchizi ,, I gave up lemme chase money😂😂
2026-09-12 19:50:31
6
Nasra Mbinga :
nikajua awa masitaa hawaumizwi
2026-09-11 13:23:21
51
Nana Akyoo :
2siojua kinchoendelea gnga like ap
2026-09-12 21:38:27
6
Vivian❤️🥰 :
cheating is a choice mama..na usiwai samehea madharau tena
2026-09-12 06:24:42
16
🦋Naah🌺🦋🦋 :
usilie kipenzi Kuna mambo mungu anakuepushia MUNGU anakusudi na wewe nenda kaseme na Mungu wako 🙌
2026-09-12 16:46:04
17
To see more videos from user @khairaty.rashidy, please go to the Tikwm
homepage.