@ibraa0139: Si kila anayesema “nimesahau” kweli amesahau… wengine wamejifunza tu kuishi na maumivu yao. ❤️‍🩹 Maana kuna mtu ukimkumbuka, moyo unaumia lakini bado unatabasamu. 🥹❤️🎶 Ukipewa nafasi ya kumrudisha mtu mmoja wa zamani, ungemrudisha nani?

Ibrahim 7 7 🗣️🇸🇦🇹🇿
Ibrahim 7 7 🗣️🇸🇦🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 10 September 2026 12:13:50 GMT
178031
11846
326
727

Music

Download

Comments

faimah.idukury
fey 💕💕💕 :
Jin plz ya hii movie
2026-09-13 09:57:36
4
fawzan5727
fawzan :
nikumbushe jina l movie plzz
2026-09-12 14:42:01
10
official_nary0
official_Narytz :
jaman nendeze na mashaka shujaaaa aaaah ngachoka mie
2026-09-12 18:20:11
2
mustajei
MUSTAFA JEI :
Dha!unatukumbusha mbali toka mapenzo nitunu
2026-09-11 05:39:13
8
janet15964
mapenzi :
Imeni ngusa Sana ila acha ni pambane na life ❤️
2026-09-12 16:40:31
2
tiffany.lovely37
Tiffany lovely :
mashaka na ndendeze
2026-09-13 19:43:27
2
officialkipara
Official Kipara🥸 :
mm nilkua shabiki yao mkubwa
2026-09-13 20:07:14
8
bakari5405
side yoke 77 :
hiyo kweli bado yupo ila daaaah. inaumaa sana
2026-09-13 19:25:20
3
asmaomarsl
habibidoll :
mm
2026-09-11 21:44:42
2
rahel.umazi
rahel umazi :
daaa nlikua naipenda sana hii movie
2026-09-11 18:32:14
2
dhulkifli_12
dhulkifli_12 :
daud
2026-09-11 04:24:27
2
ady_muhsin
ady🏝muhsin🏝 :
enzi iz nilkuw sjaanz at kuingia kweny mahusian
2026-09-14 19:08:18
0
user9013140611260
Rukaiya Aliy Mohd :
khamisi
2026-09-11 07:36:54
1
muddysaleh
Scarf fashion :
Love story Tanganyika na Zanzibar
2026-09-10 12:26:38
6
da.rei.delicious
rei delicious cake 🎂 :
wamepoteley wap hawa watu jaman
2026-09-11 12:30:52
1
rehema.mbodze4
Rehema mbodze :
inakumbuka mbali sana 😂
2026-09-13 05:25:52
1
salmaramko
Salma Ramko :
kwa wale tuliona 2015 👋
2026-09-14 08:45:15
2
chilemba580
D chilemba :
NENDEZE MWALI WA KIZARAMO
2026-09-14 11:34:26
3
rukiazuuu2
rukia zuu2 :
mashaka☺️☺️☺️
2026-09-13 19:56:47
2
user8310173514471
user8310173514471 :
jmn enzi zetu izooo
2026-09-13 13:44:35
2
swaum157
Swaum 💞 :
Kwa mm sina
2026-09-10 21:28:28
2
user5344697566199
Zainabu :
naemkumbuka ni sili yangu moyoni
2026-09-11 08:37:18
1
shabirhassan468
sheby bo3 :
miliamuu,grace,rehema,Veronica na chikuuu nime wakumbuka sanaaa ni miakaa 22 sasa pasipo kuwaonaaa
2026-09-13 20:20:11
2
user5477982349009
yona :
long time
2026-09-11 04:03:48
1
ukhty_nurat
ukhty_nurat :
wazaramo tujuane
2026-09-14 19:07:49
4
To see more videos from user @ibraa0139, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About