@manyandaafricanpowerr: Hivi kweli mtoto unamkataa mama yako na kumsingizia mchawi imeniuma sana

manyanda african power
manyanda african power
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 10 September 2026 12:26:12 GMT
51306
2934
361
242

Music

Download

Comments

marykisokafuniture
Maryline@90🌹 :
hapo ukute Kuna mchawi amekaa pembeni anawatenganisha Mama na watoto
2026-09-10 15:31:13
55
fettysoud
fettysoud :
ina uma sana [Crying][Crying][Crying] jamani pole sna
2026-09-10 18:03:57
0
alexbra259
okiri Alex :
🥹🥹🥹😭😭
2026-09-10 18:07:47
0
itz.sherry_
Sherry Fadhil🤎🥥 :
kuzaa si kupata
2026-09-10 13:27:45
13
user88000884929351
Monica beauty saloon :
awe mchawi mfanikiwe!!!!!¡
2026-09-10 14:12:32
14
christinakossam1
chrissy :
pole mama
2026-09-10 17:47:29
0
doris.mmari
Doris Mmari :
nyuma ya hili kuna ndugu upande......... kawajaza
2026-09-10 14:42:11
10
cathyloring
Cathy Loring :
Siuwaache tu na mali zao
2026-09-10 17:33:52
6
user9855342776911
Maria Baby :
Inamaana wote 8 wanaamini mama yao mchawi heeeh nalo lichungizwe hawawezi wote kuwa namoyo mmoja kuna namna hapo
2026-09-10 12:36:19
9
rangi_adimu
RANGI_ADIMU :
mama sio mchawi ila kavishwa sura ya kichwawi.hivyo vitu vipo.sana pole sana mama nimeumia sana
2026-09-10 16:16:43
18
paulo.patrick.saga
Paulo Patrick Sagati :
kuna kitu apa akiko sawa
2026-09-10 13:40:24
5
nasmashaaban222
Naah :
yaan naogopa hiyo vita mtapitia nyie watt wa huyu mama ,aliewafunga Ani awaachie nyie watoto heee yaani
2026-09-10 13:25:27
6
salma_natural_herbal
Madam_Salma888 :
Dunia ina mazito,M/Mungu atuhifadhi. Watoto 8 wote wamemkataa jaman🙄. Hakuna hata mmoja aliye upande wake.
2026-09-10 15:22:51
5
aloysiamaiko
Aloysia Maiko :
pole mama jamani hao watoto angalia wanaweza wakawa wamepandikizwa chuki
2026-09-10 12:32:55
6
user1704045911911
Da,aneth :
polee mama angu mungu akusaidie Watoto wako wabadilike 🙏
2026-09-10 13:09:03
7
user6703447003623
user6703447003623 :
pole mama
2026-09-10 19:18:49
0
zugandava25
zuga Ndava :
one day ☝️☝️
2026-09-10 12:30:31
2
user1033055146786
user1033055146786 :
pole mama
2026-09-10 17:46:19
0
nasmashaaban222
Naah :
tulizaliwa 8 ,hakuna mwenye kazi Wala biashara ,lakini mam alikua MUNGU wa pili kwetu ,Leo hii mama kafariki tunaenda kuomba hata kwenye kaburi
2026-09-10 13:24:04
6
wemaomary4
wemaomary4 :
mama kavishwa kivuli cha uchawi🥺
2026-09-10 14:58:54
2
honeybabyofficial4
honeybaby%official95 :
nyie wazazi wengine bongo bahati mbaya sana mi nachojua wazazi siku hizi wanatunafikia kuna kitu hapo maneno yake siyaamini mm yamenikuta bwana sema sikuweza kumtenga ila baba singer nae miaka 3 hii imepita sema akijitambua ntamsamehe.wamama hawa awanidanganyi ipo sababu hapo
2026-09-10 18:37:38
2
aminatuswago
Aminatu Swago :
jamani mama ni mama hata aweje
2026-09-10 14:14:16
3
rickcantona7
Eric👣 :
Mjukuu wa malundi👑
2026-09-10 15:51:50
1
user131561855
user131561855 :
pole sana mama husdaa zipoo mama
2026-09-10 14:11:44
2
dny.jc4
Dny Jc :
mm natamani mama yangu na baba yangu wangekuwa hai wa
2026-09-10 17:53:22
0
To see more videos from user @manyandaafricanpowerr, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About