Allah nipe kauli sabiti mbaka siku ya mwisho wangu niepushe na kukufulu kwa jambo lolote
2026-09-10 16:01:41
10
Muxtapha@toss :
alAllah akuongeo dahh
2026-09-12 10:17:42
1
✝️p..r..a..y 💫zone💫 :
uzuri mbinguni Kila kitu kitakua wazi😀😀😀😃😄😄😄😄😄😄😄😄😄 MUNGU tujalie mwisho mwema 🙏amen🙏
2026-09-10 14:30:58
5
MR_RICHARDKISALALA :
we ishi ulivyo amua mzeee
2026-09-13 06:45:02
2
The God son :
wapi ww
2026-09-22 10:53:04
1
Mathews kamanga :
EEe Mwenyezi mungu naomba mwisho mwema nisije nikakukosea.
2026-09-10 20:29:59
1
samitz@123 :
kaka kama umeongea poit
2026-09-10 17:47:07
1
Afledy tz :
bwana yesu asifiwe
2026-09-13 13:25:48
5
꧁ঔৣ☬✞ƘЄѴɬƝ✞☬ঔৣ꧂ :
Sisi ni matajir wa roho si wa
mali kaka ambao
utajir huo kesho unafaida
2026-09-13 05:04:01
1
Samwel Nsika :
haya
2026-09-10 13:51:43
1
Makkah 🕋 :
Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa Kunipa Akili hata hii afya na pumzi ninayo vuta ni utajiri tosha wangap wana mihela na wapo hospital mpaka muda huu Dunia tunapita tuuh ndg yang
2026-09-12 09:31:19
4
vifaa vya saloon :
hivi sasa watu wengi hulipwa kumtangaza mungu feki
hulipwa kuharibu imani za watu kuweni makini watu wa mungu wa kweli
2026-09-10 18:28:17
2
MUDI BOMBA SCOMBISO :
kila m2 na maisha yak ss tumeamua kumuomba mwenyezi mung ya ALLAH TUJALIE MWISHO MWEMA
2026-09-13 09:40:08
3
Mz Walaax :
nionyeshe bs na mimi mungu wako tumwabudu wote bs broo
2026-09-10 14:26:08
1
To see more videos from user @.hbsquare, please go to the Tikwm
homepage.