@thedarkworldswahili: SKINWALKER: KIUMBE ANACHOTISHA ZAIDI KILICHONASWA NA CCTV? ( The Dark World Swahili ) #thestorybook Skinwalker, Skinwalker Swahili, Skinwalker ni nini, kiumbe cha ajabu, viumbe wa ajabu, viumbe wa kutisha, mystery Swahili, scary stories Swahili, horror Swahili, documentary Swahili, hadithi za kutisha, The Dark World Swahili, Navajo, monsters, cryptids, CCTV mystery, scary creatures #Skinwalker #ViumbeWaAjabu #HadithiZaKutisha #MysterySwahili
The Dark World Swahili
Region: TZ
Thursday 10 September 2026 15:30:00 GMT
Music
Download
Comments
Official dadi_tz :
skin walker anavuka zebra🤣🤣
2026-09-10 18:22:44
139
its lb♻️ :
ANATOMBEKA ?
2026-09-11 18:39:53
96
BINTI KHALID :
kuna MTU kasema et skin walker anavuka zebra 😂😂
2026-09-10 20:47:05
104
Lilybarbie💞 :
uyo skin walker yupo uzungun tyuuu😳😳😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-09-10 16:46:29
5
Pro-dhul45 :
fake or fake
2026-09-11 14:52:42
4
Mamy Shop :
skin walker au vichaw vya kizungu bhn 🤣🤣🤣nikutane nae ntampiga bakora za matacle🤣🤣🤣
2026-09-11 05:09:43
21
Meddy ban🦅 :
Naomba namba yake ya wassap
2026-09-14 05:13:51
1
juniormathias :
Asante Sana kwa kupost hii video saa 6 usiku huu sas mtanifanya nishindwe kulala
2026-09-10 21:53:18
36
perfect-hair-design salon :
nimetoka kunywa bia ucku huu pombe zimekata😂
2026-09-10 21:36:57
11
Deus paul :
TANZANIA HUYU ANGE ACHA NDALA😂😂
2026-09-13 12:22:10
3
R~jay :
bwana mbona unafanya nishikwe na wasiwasi usiku huu na niko lonely 😅
2026-09-12 17:50:53
0
TFF FURNITURE :
mbon kama anavuka kwenye zebra
2026-09-13 05:01:54
0
Hillary-hmb :
nisaidie number yake
2026-09-12 01:30:21
8
Steven Viza :
wamnunulie nguo basi
2026-09-10 18:01:44
12
hek :
Amna ukwel wowote apooo iyo ni roho at camera haiwez ona roho kama ni kwel mtuoneshe na roho mtakatifu
2026-09-11 09:16:53
2
Suzan 🥀💃 :
Mpunguzage kutushitua usiku
2026-09-11 18:59:55
2
EliTzFx🧢 :
mbona hata tz wapo, wanaitwa Ngoromiko😀😀
Ni mrefu sana, alafu anapiga kelele usiku, tulikuwa tunaenda kuibia ng'ombe usiku wa manane kwenye maeneo ya serikali ambayo hayaeuhusiwi kuchungia mifugo huko, sasa usiku tukirudi aseee tunakutana nao, ni warefu mnoo, ase hii kitu inatisha ila tulishamzoea...kwahiyo sio marekani tu, yupo bongo, usiku, Oya , anatisha, anatisha...anaiga hadi sauti ya ng'ombe, 😂😂 kuna muda tumemzoea mpaka tunamrushia mawe,
2026-09-13 06:54:45
2
𝓢𝓪𝓵𝓶𝓪 :
Mbona hawatishi
2026-09-11 12:00:35
0
chimamynatalya :
lakn si kanabakika tu😁
2026-09-11 08:14:32
2
Bob chaba iyoo :
sio uongo mm nimeshawahi kumuona anapenda kuishi milimani kwa huku bongo sanasana milima ya upareni kama ni uongo waulizeni wapare😈😈😈😈😈😈
2026-09-10 18:38:54
2
NYM :
huyu ni NGOZI MTEMBEAJI
2026-09-12 19:45:03
1
To see more videos from user @thedarkworldswahili, please go to the Tikwm
homepage.