kwani lugumi ana swali sawala 5 kama sisi au anaunganisha
2026-09-10 18:29:55
64
nahla_clothing93 :
baba naomb n Dm please nashida
2026-09-10 20:10:20
0
Man mnyang'induh :
Mzee nsaidie elf 10
2026-09-10 21:20:43
1
D :
Cardilac escalade@dream car
2026-09-10 21:07:43
0
Miss Mungure 💖🔥 :
najiambatisha na baraka izi🥰
2026-09-10 16:33:23
17
❤️Nazmina🦋🦋 :
Shkamoo baba hatujambo😂
2026-09-10 20:32:15
5
laminemussa 916 :
Dah huwezi amini kama hivi vyote 2naviacha Dah 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-10 20:59:10
12
NgaizaJr..MrPlumber💧 :
Pikipiki tu Inanitesa Huu Mwaka Wa Kumi...Sijamiliki...Naenda Sait Kwa mguu na kwa kuunga unga Bajaji na magari...
Huku Tuendelee kuwa na Imani Tu...
🙏🙏🙏 Hongera Sana Mzee MUNGU akutunze Hakika Mnatufunza Mambo Mengi Vijana.
2026-09-10 21:37:45
8
JACQUES 🍎 :
usitaman Mal ya mtu 🥺
2026-09-10 17:55:24
11
£zo* :
who are you
2026-09-10 19:56:43
0
Witiness 🦋🌺❤️ :
Na mimi mungu unione jamani ata moja😢
2026-09-10 20:54:15
3
mosess David :
Nic boss
2026-09-10 18:32:26
1
user3835561738159 :
ni dua hizhiz 2nazo omba au kuna dua mpyaa mzewe2
2026-09-10 19:47:11
6
Bra Classic Wear :
Kwa Mungu Tutajua kila kitu 🙇🏽♀️
2026-09-10 19:52:39
6
Rajababu :
samahani lugumi kwann ujawai post familia yako wal mkeo wako na labda ukipost saan wale watoto yatima naomb nijibiwe kam itakupendeza
2026-09-10 19:50:18
1
Allyhussen :
ngoja nilale tu maana huku hapanifai😂😂😂😂
2026-09-10 21:12:45
2
addy victor 🦋 :
Na iPhone 18 zmesha toka eee Mungu me ata iPhone 12 Bado na magar ndo yapo yaivi Tena uwiiiii😂😂😂😂😂😂
2026-09-10 21:29:16
0
Mr mtanga :
nikweli lakini kwako mungu kazidisha sana baba
2026-09-10 19:49:36
2
💣☠️C H A M A K H💥🤴 :
napenda san na nafurah kuona hiv,,,Kiukwel aya maisha ni mazur na matam mno ila ukifikilia kwamb lugumi akifa ivyo anaviacha vyote na akuna atachozikwa nacho sio pesa wala mali na magari alonayo,,,BROOOS EN SISTAS FOCUS FANYA KAZI KISHA SHUKURU NA ULICHONACHO KESHO YAKO HUIJUI MALI NA MAGARI PIA MAJUMBA YA KIFAHARI NI YA KUPITA TU KUNA MAISHA YA MILELE UKO TUNAPOENDA TUTENDE MEMA NA KUSAIDIA WENYE UHITAJI HATA KAMA UNA KIDOGO TUTENGENEZE JANNAH YETU
2026-09-10 21:42:03
2
im Genna :
msijimalize sanaaa, hii sio account ya @LUGUMI mwenyewe😂😂😂😂
2026-09-10 18:02:34
1
baba ivana :
Mtoto alikubali mapematu🙌sehem yakulalamimi ndo magar yaka🤲🏻
2026-09-10 20:58:21
1
Fizzo Dls :
Kwa heshima
2026-09-10 21:09:11
1
To see more videos from user @lugumisaidi, please go to the Tikwm
homepage.