@rahim.amiry: #tanzaniantiktok🇹🇿 #viralditiktok #genz #videostar #videos

Samia Suluhu Hassan
Samia Suluhu Hassan
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 10 September 2026 13:14:36 GMT
15141
656
44
15

Music

Download

Comments

luka_m696
Luka_m❤️ :
pole xana mamangu ĥiii ni xafar yetu xote
2026-09-10 15:20:03
0
priscillamasanga
Priscilla Masanga :
pole mama
2026-09-10 16:21:25
0
bloodyuu2
💥💥 yuph👑👑 :
pole sana mama yangu mungu alaze roho ya marehemu mahali pema
2026-09-10 13:55:11
6
abiymann
꧁𓊈𒆜𝗔𝗕𝗜𝗬𝗠𝗔𝗡 :
Very sorry
2026-09-10 13:46:33
1
rey85288
rey :
pole cana mama yet mupendwa
2026-09-10 13:34:17
1
user2324139077972
kibiriti :
inalilah wainaillah rajiun hakika kilanafsi itaonja umauti MUNGU akutie nguvu katika kipindi kigumu unachopitia pole san🤲
2026-09-10 16:16:40
2
xamihiy
🧕🧕🕋🕋🕛 $ :
Allah akupe nguv mama yet yt ni mipang ya Allah
2026-09-10 13:26:21
2
mashambamazuri
mashambamazuri :
asalamu Allaikum mheshimiwa rais wetu mpendwa kipenzi cha watsnzania ,pole sana Allah amsamekh madhambi yake yote marehemu mzee wetu, aliyoyafanya kwa siri na dhahir na akupeni subra katika kipindi hichi kigumu na sisi Allah atujaalie mwisho mwema .Amin rabil Allahmin
2026-09-10 16:05:13
5
asha.lipale
Asha Lipale :
pole sana mama
2026-09-10 13:47:37
2
user302748002335
TAN BRAND OFFICIALLY 👑🇿🇦 :
Allah arhem
2026-09-10 13:54:40
2
sss69085
SSS :
pole sana mama mpendwa mungu akupe subra na akupe mbadala wa Alie mchukua
2026-09-10 15:55:01
2
user8879769111371
Sophia🥰 :
Pole mama💕🥰
2026-09-10 13:24:20
1
user30561708192840
Abdulrahman. :
Tunakutakia pole mama samia suluhu hassan, pole hakuna marefu yasokuwa na mwisho, ata dunia inamda wake ukifika tu inaondoka. vuta subra Our forden mother.
2026-09-10 14:20:49
4
user7369015486030
am ansy🌻🌻 :
MAMA ANGU SHIKAMOO
2026-09-10 16:58:10
1
joshuamahay56
j drummer :
pole sana mama yetu mungu akutie nguvu mimi binafsi naona mchango wako kagika swala zima la elimu...mungu akupe amani ya moyo
2026-09-10 15:42:05
1
boniphacemgng712
boniphacemgng :
mama mola akutie nguvu ili uweze kuliongoza hili taifa Kwa kuwa liko chin yako 🥹🥹🥹🥹
2026-09-10 14:49:12
1
pilly.lucas8
pilly lucas :
pole sana
2026-09-10 16:17:01
0
mashambamazuri
mashambamazuri :
tuko pamoja inshaAllah Allah. Akulinde na mahasidi wasiokutakia mema na Akupe wepesi zaidi wa uzima na Afya njema wasikuone wabaya daima inshaallah .Mh rais natoa pole zangu za zati Allah akupe subra sana katika kipindi hichi kigumu ,Mheshimiwa rais huna baya, tunaona unavyoijenga tanzania yetu .endelea kujenga taifa letu ,tunakupa moyo uko vizuri sana , Allah Akupe Umri mrefu Zaidi tuko pamoja inshaallah
2026-09-10 16:12:46
2
kulwadaudi228
Kulwa Daudi :
Pole sana mama M/mungu hakutie nguvu katika kipindi hiki kigumu 🥲🥲🥲🥲🙏❤️❤️❤️❤️
2026-09-10 16:58:35
0
user426315080
abraso boy@ :
mungu amrehem na amsameh makosa yake na sote kwa ujumla
2026-09-10 16:59:22
0
tussaharuna
tusa wa chikandanga :
pole saana mama hakuna anaelihimili ili Allah awape subra katika kipindi iki kigum mtu awezi elewa mpaka yamkute dah Allah awazidishie nguvu
2026-09-10 16:48:47
1
.jb.tz1
Jacob. tz :
daah! pole sana 🥹🥹 mama ina uma sana mungu🙏🙏 awe nawe mama
2026-09-10 16:13:16
0
madevu_og
Madevu og :
pole sana mama Samia ndio hatima ya mja
2026-09-10 16:12:44
0
salhiyahaji4
[email protected] :
pole sana mama
2026-09-10 16:50:12
1
elizabethayub35
Elizabeth :
pole mama mungu akutie nguvu
2026-09-10 14:07:57
0
To see more videos from user @rahim.amiry, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About