@jamiiforums: DAR: Jeshi la Polisi limemfikisha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Conrad Agonza Kahyoza, leo Septemba 10, 2026 akituhumiwa kumshambulia Askari wa Usalama Barabarani eneo la Lugalo, Septemba 8, 2026. Mtuhumiwa ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Ndani katika Hospitali ya, Taifa Muhimbili-Mloganzila. #JamiiForums #JFMatukio