@i.b.n.u.a.l.l.y._: hem muangalie huyo myama anavyo hangaika kwa uchungu wa kutolewa roho🥹🥹🥹 je moyo wako unaeza kurudisha nyuma 🥺 au bado wasema ntafanya kesho 🥹 endelea na raha za dunia 😥lakini zingatia muda #mombasatiktokers #fyp #viralvideo #viral #fppppppppppppppppppp
Cats that experience sudden, temporary fits of shaking or erratic twitching and then quickly return to normal are usually experiencing Feline Hyperesthesia Syndrome (FHS), focal seizures, or intense flea/skin allergies
2026-09-11 17:16:39
0
K_BOBBUILDER 🇰🇪 :
I love cat wallahi soo sad
2026-09-10 20:50:24
0
ALY .M. ALY :
subhanaAllah huyo ni mnyama asiyekuwa na dhambi je mm na ww binadamu wenye akili zetu timamu na tunajua hili ni kosa na hili sio kosa 😭
Allah atujaalie ni wenye kutubu dhambi zetu na atuchukuwe akiwa radhi na sisi🤲😭😭😭
2026-09-10 18:35:25
119
silentgal backup :
subhanaAllah husnul khatima ya rabb🥺
2026-09-11 02:53:48
43
Nachu🦋❤️ :
Subhanallah 😭 May Allah grant us a good ending 🤲
2026-09-11 12:31:55
0
💐𝕌𝕄𝕄𝕌 𝕊𝔸𝕄𝕀ℝ𝔸💐 :
subhanallah kifo hakina huruma Allah atupunguzie uchungu wa mauti yaa Rabb😭
2026-09-10 19:05:53
49
Sumeiya bint Salim 87 :
SubhanaAllah niliona paka akitolewa roho nililia sana kumuona Huyu ni paka hana dhambi je Sisi???
2026-09-11 11:21:23
16
Islamic.page :
ukute izrael apo karibu yako anakuangalia tu apo 🥺
2026-09-11 05:02:41
18
thuweiba001 :
Laila Haila Llah 😭😭
2026-09-11 04:20:39
9
kaisar❤️🦋 :
Wallah leo nimemuon paka kagongwa na gari bs anavokufa mpk huruma wallah allah atupe mwisho mwema🥹🤲🤲
2026-09-10 19:46:10
19
tumabby🥰🥰 :
subuhanaallah hakika kifo kinauchungu😭😭
2026-09-10 18:37:13
12
Hassanat Ahmed :
Yuwafanana Na Paka Wangu Nun nikimuangalia Machozi yanitoka🥺Ya Allah
2026-09-10 19:06:14
8
shazz shaniah :
mimi napenda sana paka.naskia sana uchungu kuona anavoteseka.Naomba umtunze umuoshe na umpe chakula ju paka wana siri ya baraka wengi hawajawaigundua.maisha yako yako hautawai kuishi bila kazi utakapo muonyesha mapenzi ya dhati.niamini
2026-09-10 15:51:27
12
mamiville :
khusnil khatima yarabb🤲
2026-09-11 14:07:50
1
Zeinab Sharif :
SUBHANALLAH.. HUSNUL KHATIMA YAALLAH🤲🤲🤲
2026-09-10 21:02:11
5
lastiee❣️🥰 :
Subhanaallah
2026-09-10 19:37:37
1
♥️🧚🏻♀️BOSS LADY🧚🏻♀️♥️ :
uyu labda anaumwa mbona mpk mwisho anapumua vzr tu allah ampe shifaa kama bado yupo
2026-09-11 14:12:26
2
🌸Dida🎀 :
🥺 Allahuakbar
2026-09-10 19:50:33
3
Scott_39 :
Allah twaomba utupe mwisho mwema😭😭
2026-09-10 21:51:57
2
jaykassim1 :
Allahu Akhbar
2026-09-10 18:15:35
4
HF :
Badili ya kumchukua video ungeempa hata maji ya mwisho😢
2026-09-10 20:19:19
5
Sweet Tamnai🥰 :
😭😭subhanallah
2026-09-10 19:50:23
1
To see more videos from user @i.b.n.u.a.l.l.y._, please go to the Tikwm
homepage.