@beemzuri1: Inasktisha sana walai ubebe mimba miez Tisa uzae Kisha Mtoto umtelekeze jaani surely? 😩😩wanawake wenzangu hii ni aibu Kubwa na ukatili , atakama mtu Una ugomvi au kutokua na maelewano mazuri na baba Mtoto basi usifanye asira kwa mtoto Asiekua na hatia jamanii 🤌🏻mbna twafeli wanawake wenzangu😩😩huu ni ukatili 🥹🥹 Anemjua Mamake aseme Mana mpaka kufkia sai Mtoto ilibidi Apelekwe children rescue hatuko nae tena nyumbani ,imagine hatakama umekosana na mwanaume wako basi ndio ubebe mimba miezi yote iyo Kisha umzae salama mwanao mwanadamu usieshukuru mungu Leo hii waja umtelekeze Mtoto ama hatakama maisha ni Magumu kiasi gani uku nje si mtu upambane tu ulee mtotoako huezi jua kesho akikua atakuja Akufae na nini 😩ama Anaeza kuja kua kiongozi Katika jamii aongoze wanachi 😩😩shame on you Mamake huyu Mtoto kokote uliko mungu akukoseshe Amani roho ikusute kila uchao na akunyime kizazi 😩🥹🤌🏻.