kwani skukuu ya ma last born ni lini twende beach tukajilize bila sababu
2026-09-10 18:40:41
34
mama asimwe :
kama lastborn gonga like hapa 🤣
2026-09-10 16:26:55
3
Official_sarah :
hahah nimecheka mie
2026-09-10 14:01:10
13
stellah🖤 :
😂😂😂 ma last born mnashda
2026-09-10 14:49:43
1
choosen❤️🫶 :
mimi baba na mama waliniambia tutaenda jinini pamoja kwenye tamasha moja la Askofu ilivyofika hiyo siku wanatak kutorka wanaamka wananyata asubuh wamevaa nguo wanashangaa wananikuta kwenye gari nimeshavaa tayari😂💔
2026-09-10 20:21:22
4
crala :
ahahhhahaha 😁😁😁 uwiii
2026-09-10 15:53:05
3
zuuh_ mo :
Ushaambiwa huendi mjini minuno ya nn tena last born 🤣🤣🤣🤣
2026-09-10 13:57:18
3
iness me :
ndio maana mm ni wakatikati
2026-09-11 05:18:29
0
muuh jr💕🫂 :
mbona mnatuonea sisi ma last born 😂😂
2026-09-10 16:28:14
2
monee girl💕 :
cy lastborn ni firstborn miee
2026-09-10 14:31:32
1
B&G💞💞🦋 :
mwingine anagombezwa na mama yake yey anasema ngoja mwenzako arudi nimwambie akupige😂😂😂
2026-09-11 05:19:56
0
ThickPhaty :
😂
2026-09-10 14:49:23
0
HAPPINESS SAID :
sawa mwanetu
2026-09-11 06:57:35
0
To see more videos from user @lstbrn50, please go to the Tikwm
homepage.