@khanmusichq_: Mwaka Mmoja Umepita Sasa, Show Ya King Khan Kwenye #SIMBADAY25 lliyoshuhudiwa Na Watu Mil 60 Na Bado Ni Performance Iliyotikisa Tanzania Na Afrika Mashariki Kwa Ujumla Mpaka Sasa. Je, Unakumbuka Hii Performance Ilikukuta Upo Wapi ? #KHANMUSIC #LiveShowBeast #SIMBADAY25