@mirrsviva: Mama ntilie pt2 Inaendelee… #nokulia #nokutiahuruma #nokutoka @MAME cosmetics & beauty point

Simulizi za#mcviva
Simulizi za#mcviva
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 10 September 2026 14:32:31 GMT
36328
2921
171
64

Music

Download

Comments

brinas3340
Brina’s :
Mzimu [Tears of joy]
2026-09-16 10:44:57
0
cathe72
Os~ree♈️ :
Hahahaha🤣🤣 et dady dhambi zako nibebe mimi may God bless uuuuuu❤️❤️❤️
2026-09-16 10:26:35
0
fatmafaysher
Modesty :
call me mc viva or daddy weuweeeeeeeh😍🥰🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-10 23:05:10
1
ennymichael73gmail.com
Queen enny :
viva mbona Una account mbili
2026-09-10 18:03:06
4
user9814305006117
user9814305006117 :
wap Dad.....aaaah weeeee😂
2026-09-16 08:21:02
0
chulo_ney
prettyMeh🦋 :
Da Viva tuma muendelezo kama hutaki shida na mimi🥺
2026-09-10 15:54:34
20
user716016055471
Abigaeli Allan :
Ila mc viva😂 eti sifanyi kazi na mzimu
2026-09-13 15:59:35
5
ba2li5
Ba2li💃🏻🔰 :
Kuna account fake ya viva ogopa matapeliiii😄
2026-09-11 08:51:25
2
marybura711
mary kendrick :
jamanieeeee natafuta stori inayofanana na ya kwangu mwali kama mim na bwana kama huyu niipati naona watu ndio kwanza wanaanza mahusiano hata hawana kiburi wala jeur kwenye stori nyingi.. kuna mwali kama mim mwaka wa 6 sasa bwana kama huyu haogopi, hajifichi, usku na mchana yuko na huyo mwanamke na amezaa naye na hawana hata dalili ya kuachana na hawana dalili ya kuniheshimu hata wafanye mambo yao kwa siri ndo kwanza akiwa na shida anampigia simu iwe usku anatoka kwenda kwake mm nikijifanya nauliza wananiona mpiga kelele yaani naona kama dalili ya uke wenza jaman ndani ya mwezi ameshajichagulia siku 4 hadi 5 za kulala huko na mchana kila siku lazima yaan mchana na jioni ndo anakoshinda hata majiran wa huko wanaona ndo baba mjengo wake bwana kama yule aliyekosa haya
2026-09-11 03:31:50
2
cece.internationa
Cece International🇹🇿🇨🇳 :
Daddy Kama Daddy 😂😂😂😂aaah nmecheka 😂😂😂
2026-09-15 13:14:23
1
deborahngogo7
deborahngogo7 :
Asante mwali,, nimejikuta nazurula kwenye hii page kila baada ya nususaa😆😆
2026-09-10 14:38:26
27
habibty9361
habibty :
wa mwanzo
2026-09-10 14:38:01
10
preatynation
PREATY NATION ♥️🫂😩 :
Jmn kwn siku hizi ratiba imebadilika mwali 😂😂😂😂
2026-09-10 14:42:37
4
sarah.d314
Sarah d :
jmn nimeisubiri hatari
2026-09-10 14:44:26
6
the.luxuriouszone8
🔋 :
FROM TOYOTA TO DADDY [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-11 00:08:45
0
azztapher
Azzy_six19❤️ :
kuna mtu kafungua account uko anajiita mc viva [Innocent][Innocent]
2026-09-10 18:40:54
3
user3051254991311
berthos :
Story ingine ngumu ee Mungu nilindiye ndoa yangu
2026-09-12 04:35:45
1
ruthapqxvi6
Last Born :
nakupenda sana nina ujasir mpaka najishangaa
2026-09-11 07:38:09
1
mwasitymaliky6
Mwasitymaliky :
jmn adi nakupenda maana bd sijaolewa lkn najifunza mengi kwako❤️❤️❤️
2026-09-10 16:05:08
3
nurra954
💦❤️‍🩹🎀Mrs s🎀❤️‍🩹💦 :
jamn toka nakufatilia nimekua sugu nilikua nalia usk kucha Siri saiv nalia dakika Tano haziishi nakula zangu na lala😅🥰
2026-09-12 09:03:27
2
girl65201
Girl 🌸🥰❤️👌 :
Niache bhn kila mty n maish yak😁😁
2026-09-10 14:56:50
1
nilove842
nilove :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] ila da viva kukupenda ndo kitu najuwa
2026-09-11 06:01:13
1
chynaah_0625
chynaah_0625 :
Pale kwenye majina yako tuongeze apo Daddy
2026-09-10 15:04:41
1
neemanyenyema
neykiki :
siwezi kufanya kazi na mzimu khaa🤣🤣🤣
2026-09-16 16:04:59
0
winlove310
winlove :
dady unamambo😂
2026-09-16 10:59:39
0
To see more videos from user @mirrsviva, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About