@bongofive: Apple imezindua iPhone 18 Pro, iPhone 18 Pro Max na iPhone Duo, simu yake ya kwanza inayokunjika. Hata hivyo, Duo ndiyo iliyovuta zaidi mjadala baada ya Samsung kuijibu kwa kejeli, ikidai Apple imeingia kwenye teknolojia ambayo Samsung imekuwa ikiitumia kwa miaka. 🎤 @cathed__

Bongofive
Bongofive
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 10 September 2026 14:38:40 GMT
40659
842
11
43

Music

Download

Comments

safarilucaskimaro
safari kimaro :
🤣🤣🤣🤣Samsung did this in 2019
2026-09-10 15:51:39
0
kamugisha466
kamugisha :
Nassi tunazinduwa RADI TANZANIA 🇹🇿
2026-09-10 20:02:23
1
user8579593687179
madaame :
ndo natak nnue iphone 1 sasa😅,au mwenye 16 anigawie 1🫪🫪
2026-09-10 16:51:51
0
amando049
a m a n d o tz :
inazwa milio 12 hiyo
2026-09-10 16:06:03
0
zenith.golden7
Zenith golden :
Me najua kwenye hata camera soon Samsung watatoa kijembe maana apple imebaki kwenye 48mp😂😂😂
2026-09-10 18:05:59
0
shabiki.wakujitol
shabiki wakujitolea :
s27 ipo road anakuja Kwa moto
2026-09-10 15:10:39
0
user9751103216114
394430 :
😁😁😁
2026-09-10 19:50:35
0
alistidiaathanas
Alice :
😂😂😂
2026-09-10 20:56:21
0
To see more videos from user @bongofive, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About