Mtihani wa service marketing nisingecheat nifeli vibaya mnoo
2026-09-14 06:14:20
1
NAVY🦋 :
Me too sijacheat na sijawahi kusup, ask my classmates if you don’t trust 😂
2026-09-10 15:59:45
12
_.roxyb :
Ht mm c kusoma la 6 Ila ilibd nisome la Saba bcoz of cheti n Nilisoma two months
2026-09-12 08:41:15
5
Jona_b_tz :
siku nilicheat nlifeli mpaka sup 😂😂💔
2026-09-10 15:42:20
19
dantte_bankx :
Kuna watu bila cheat atujiis vzr
2026-09-11 06:34:27
7
Pharm Urban Edmund :
primary 91 wakati alama huwaga ni 50 how Daktari ? au umesahau ?
2026-09-10 23:05:40
6
iylie💋 :
Huo muda wa kuulizana mlipata wapi jmn?
2026-09-10 19:00:17
3
landload :
mi toka shule ya msingi
2026-09-11 08:36:28
0
Justinbieber :
dr noel mim niliwah kuumwa SJS . na ikapelekea kupata shidq ya macho ya kutokuon mbali. sasa kuanza primary sikuwah kuchet kwasab hata mtu akinipa niigiliziee nilikua siwez kwasabu sioni mbali. baad ya kujua hivo mtihan wangu wa darasa la saba mm ndo nilikua nasaidia watu . nilivo anza seconday nikaaanza kusoma ili kuondoq ile mindset ya cheating .nikaendela na hiyo tabia had namaliza seconday .hivo hivo advance na chuo . so yeah SJS iliniumiza lakn ikanifundisha kujipambania mwenyewe na kusaidia wengine pale ninapopaweza
2026-09-11 20:29:46
1
My Life Still My Life :
Ushauri wako sio sahihi maana watu wanazaliwa tofauti na wanakuwa tofauti wanasoma tofauti na wanafanya kazi tofauti hivyo hatuwezi kuwa sawa maana mazingira yanabadilika
2026-09-10 16:58:13
4
Joyful :
hee!!aaah...ulinishtua mwanzon🤣🤣🤣
2026-09-10 14:57:21
9
gabriel_aneth :
Mm kukaa wakwanza since nasary hadi chuo ilinihumble sana wazazi msiite watoto wenu Abigael nlkuwa siwez ata kugeuka kujikuna 🙌😂😂🥺
2026-09-10 17:06:31
0
MALONE :
chuo baba maksi moja inkubadilishia apo tajir utnisamehe
2026-09-11 05:17:11
3
jembe_pro :
discussion kwenye chumba cha mtihani😁😁😁
2026-09-10 18:40:20
3
Makame kodema :
2026-09-10 16:49:15
1
Itc~Marina💍💕🦋 :
Mm nikicheat nafeliiii bro😂😂😂
2026-09-10 17:54:57
1
@CEO :
sema hapo kweny assignment 😁😁😁
2026-09-10 18:24:13
1
EFM_STORE :
Mm sijawahi cheat wala kua na formation na nilikua nafaulu vzr tu sikuwahi pata sup hata moja siku niliyoangalizia nakumbuka ilikua UE ya surgery nilipata SUP😂😂😂😂😂 nilivosapua ndo basi mpaka namaliza sikuwahi cheat tena…
2026-09-11 21:07:46
1
Ms_saly🥰 :
nilishtuka mwanzo ila kwenye mahusiano si unacheat
2026-09-10 15:00:18
6
Finelady😲 :
mimi pia kama kuna kitu siwezi kukitatua huwaga siwaz
2026-09-10 16:39:55
2
To see more videos from user @doctornoel, please go to the Tikwm
homepage.