hahahahaha yani nimechaka maana uyo ni mimi kabisa
nilimblock na akitumia namba mpya nablock tena
nilichoka upuuzi 😧
2026-09-15 09:51:26
1
SWEET 🥰🥰 :
😂😂😂 mpaka nimekuflo
2026-09-11 20:08:58
1
mcute dimples :
yaani hii challenge imekuwa mm...x hunipigia na number nyingi mpya na namblock 25 contact numbers niliblock
2026-09-10 20:48:49
0
Da subi♡♡♤ :
10/10 nalipa
2026-09-11 19:08:19
2
Madam Suuh💖 :
Kwisha yeye🙌🙌🤣
2026-09-10 16:52:22
1
Diane kombi :
unajuwa kunipendeza bwana
2026-09-11 13:21:03
1
khadija :
kweishaaaa habar yake😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-09-12 11:24:46
1
PRINCESS ESTER :
ex wangu ana tumia namba nyingi kuni tafuta alini acha aka enda kwa mwengine naye huyo aka muacha na sahii ana taka kurudi na mm nime amua kuwa single lady
2026-09-10 16:26:03
2
Rachelsylivenus :
Kuna vitu naviona kwako utafika mbali mungu akulinde
2026-09-10 17:56:38
1
🔐 Aunt Seii💞🍓 :
mbona leo nakutana na video za kuachwa achwa sana au namimi nakaribia [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-19 11:53:01
0
official zulfah :
vp😂😂🤣🤣
2026-09-10 15:40:00
0
To see more videos from user @kipason.jr.back.up, please go to the Tikwm
homepage.