@mtuwaulaya: Ila watu weusi 😅🙌🏻 #fyp #mtuwaulaya #spain

Mtu wa Ulaya🌍
Mtu wa Ulaya🌍
Open In TikTok:
Region: ES
Thursday 10 September 2026 15:27:29 GMT
108808
7065
240
101

Music

Download

Comments

aweson_01
Cee _.$eason :
ww vp acha izooooo brow
2026-09-28 23:37:10
0
hussein.motivator
Hussein Motivator ✌️ :
acha kuwa record mwanng we just ongea 2
2026-09-28 22:24:29
1
banchiki.brandy
Banchiki Brandy :
acha kuchambaa umbea kila mtu na maisha yake
2026-09-10 16:59:01
159
soteryyoung
soteryyoung :
Sijui kwanini sisi hatupendani hatusapotiania sijui shida inakuaga nini💔🤦
2026-09-10 16:58:36
37
hussein.daud66
pipiro car doctor 🔧🔧 :
ila wateja wapo na ni wazungu tatizo nini
2026-09-11 05:56:47
32
mahrezriyadhafidh
mahrezriyadhafidh :
Fanya kilichokupeleka
2026-09-28 12:34:08
3
teressa_fans_page
teresaa_fans_page :
EM KILA MTU A MIND BUSINESS ZAKE
2026-09-11 08:40:05
3
manzoki40
manzoki :
wew unalelewa tulia watu watafte
2026-09-11 06:49:22
56
leslingar
Leslie Msaki 🇹🇿 :
Dogo fanya kilichokuleta and be Humble...watu wameenda kutafuta maisha ulaya alafu we unawasema kwa sababu ni weusi wenzako..je wazungu wanao jihusisha na Global Drug & child trafikking mbona hauwasemi?
2026-09-11 14:14:49
9
harrison.chula
Harrison chula :
Watu weusi tulikosa viongozi ndio maana twadharaulika kila mahali
2026-09-28 20:23:24
1
maarifa89
M@@rif@ @MiGo🤞🏀 :
Kati yetu weusi na weupe na kahalibu utalatibu wa wenzie Wameyataka wao wenyewe wazungu kuja kututawala kipindi cha kolon wangetuacha hayo yote yasingekuepo😳😳😳
2026-09-11 19:02:44
1
mikate007
Nerea :
SIGUEEEEEE SIN RENDIRTEEEEEE❤️
2026-09-21 16:36:19
3
najmanyota5
Star✨ :
As long as wanapata wateja hamna neno
2026-09-11 10:27:29
4
badrygullam
Gullam___ badry :
Bro unataka wote wawe ving.asti acha watu wapambane
2026-09-11 10:08:58
3
apolloambroce
apollo kibosho mkombole :
umbea tuu
2026-09-11 04:37:04
6
raphaelmussa8
JR47 :
Acha izoo
2026-09-10 18:18:00
4
kibuga6
kibuga :
kwaiyo na wanunuzi watu weusi au?
2026-09-11 07:31:18
5
sandals.chap
Sandals chap :
Oya mimi nimeishi hapo …. Sio feki izo ni wanauza semu sio sahihi… acha umbea mwanetu
2026-09-11 06:10:53
15
unclebenny_12
Bensoul :
kama kunawatu wananunua hakunashidaaa😂😂
2026-09-10 19:14:49
3
1m_meech
KENNY VISUALS :
Wape kazi
2026-09-11 07:07:30
2
halfangel09
Half Angel901 :
Yan aibu naonaga mm 😂😂😂
2026-09-10 23:08:20
2
bukuru.hussein
Bukuru Hussein :
nani katengeneza
2026-09-11 07:00:56
4
userabayapambee
Abaya pambee :
wao wamezipata wapi
2026-09-11 04:11:37
4
daudijohnlussingu
DAVID JOHN :
hiyo ya kamba Sasa tuna chakujifunza apa dar
2026-09-11 07:55:09
1
chosen.one2683
chosen one :
si hao hapo kwanini usiwaambie,,sisi huku Tanzania 🇹🇿 tunakusaidiaje ?
2026-09-12 12:06:15
1
To see more videos from user @mtuwaulaya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About