@hanoona3000:

🇸🇦🇸🇦الماسه حنان🇸🇦🇸🇦
🇸🇦🇸🇦الماسه حنان🇸🇦🇸🇦
Open In TikTok:
Region: SA
Thursday 10 September 2026 15:38:34 GMT
690
77
15
5

Music

Download

Comments

user3539549952314
🎻 :
الجواب بنهايه الضحكه🙂
2026-09-10 19:13:33
1
ahmedalshopy
جود السحاب :
اسمه عزيمه واراده
2026-09-10 15:56:46
1
jdhddhu_uu
- :
شاطره تيتا
2026-09-10 15:42:52
1
sam1964h
sam1964h :
😎
2026-09-10 19:18:39
1
kok010
علي505 :
2026-09-11 05:54:23
1
userqhmeji8140
Mofeed :
😂
2026-09-10 20:42:47
1
abo.fd
abo fd :
النظارات كيف ما طاحت منها
2026-09-10 23:15:07
1
user1360047727624
طارق ابو محمد :
🥰🥰🥰
2026-09-11 11:12:30
1
ahmed_ebrahem__
➸❥ 🅐🅗🅜🅔🅓 ❥ :
😁😁😁
2026-09-11 18:51:03
1
hamadaalnajjar1
ٖ :
😂😂
2026-09-11 17:09:02
1
mohamedallam2571977
⚔️🗡️F O X الإمبراطور🗡️⚔️ :
🤣🤣🤣
2026-09-11 07:02:13
1
user34152461843355
ابو الوليد :
🤗🤗🤗
2026-09-12 16:33:27
0
useralnazeef
النااااازف :
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
2026-09-11 00:55:03
1
mbasr33
@أبو أبراهيم @ :
😁😁😁😁😁
2026-09-10 15:46:52
1
dyu8m7u9wa3d
علوش :
😁😁😁
2026-09-10 16:04:58
2
To see more videos from user @hanoona3000, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

RISASI 10 ZAPIGWA HEWANI KUMUAGA SP MTATIFIKOLO MOSHI – KILIMANJARO Mlio mmoja… miwili… mitatu… hadi risasi 10. Milio hiyo ilipasua anga la Uchira nje kidogo ya Mji wa Moshi, si kwa ajili ya vita, bali ikiwa ni salamu ya mwisho ya Jeshi la Polisi Tanzania kwa mwenzao, SP Emanuel Mtatifikolo. Mbele ya mwili wa marehemu, askari waliokuwa katika gwaride la mazishi walitoa heshima ya mwisho, katika tukio lililobeba taswira ya kufunga rasmi safari yake ya utumishi ndani ya Jeshi la Polisi. Jeneza lililobeba mwili wake likiwa katikati ya waombolezaji, askari walisimama kwa nidhamu na utulivu, wakitimiza taratibu za mwisho za kumuaga mmoja wao. Kwa familia, ilikuwa ni wakati wa majonzi. Kwa askari wenzake, ilikuwa ni kumuaga mwenzao. Na kwa Jeshi la Polisi, ilikuwa ni kufunga ukurasa wa safari ya utumishi ya SP Emanuel Mtatifikolo. Kisha ukafika wakati wa salamu ya mwisho. Heshima ikatolewa kwa mwili wa marehemu, kabla ya milio ya risasi 10 kusikika hewani. Risasi hizo zikawa kama alama ya mwisho ya safari ya uaskari ya Mtatifikolo. Safari iliyokuwa imeanza Juni 16, 1995, alipokuwa ameajiriwa katika Jeshi la Polisi Tanzania. Alipata mafunzo ya awali katika Chuo cha Polisi Moshi, CCP, na baadaye akatumikia katika Shule ya Polisi Moshi, ambako alitumia sehemu kubwa ya maisha yake ya kikazi. Katika utumishi wake, marehemu alielezwa kuwa askari hodari, mwaminifu, mtii na mwenye ushirikiano mzuri na wenzake, sifa zilizomfanya kuaminiwa na kupewa majukumu ya uongozi pamoja na kupanda katika madaraja mbalimbali ya Jeshi la Polisi. Lakini safari yake ilikatizwa ghafla Septemba 5, 2026. Akiwa katika mazoezi ya mchakamchaka pamoja na askari wakufunzi wenzake katika Barabara ya KCMC, eneo la Kwa Mwakyoma, aligongwa na pikipiki. Alikimbizwa Hospitali ya Rufaa KCMC kwa ajili ya matibabu, lakini alifariki dunia Septemba 6, 2026. Kwa mujibu wa taarifa ya Jeshi la Polisi, dereva wa pikipiki iliyohusika katika ajali hiyo amekamatwa, huku chombo hicho kikihifadhiwa kwa ajili ya ukaguzi na hatua zaidi.

About