@dr_najm: Replying to @loveness mwasha❣️❣️Unatamani kuongeza uzito lakini mazingira, budget au ratiba yako vinakufanya ushindwe kula vizuri kila siku? 🥹❤️ Usikate tamaa. Anza na kile ulicho nacho. Unga wetu wa lishe unaweza kuwa sehemu ya mlo wako wa kila siku na kukusaidia kuongeza calories na nutrients kwa urahisi. 🥣💪🏽 Kumbuka ❤️ weight gain ni journey, si kitu cha siku moja. Usijilinganishe na mwenzako mwili wa kila mtu una response yake. Cha muhimu ni kula vizuri, kuwa consistent na kuupa mwili muda. 💰 Tsh 20,000 / 3KG 🚚 Tunatuma delivery mikoa mbalimbali Tanzania. 📞 Piga/WhatsApp: 0769127 724 Ukinunua, usianze kwa pressure ya kutaka mabadiliko ya haraka. Anza tu, kuwa consistent, na usikate tamaa. Kila hatua ndogo ni sehemu ya journey yako. ❤️🥰 Unataka kuanza? Nipigie au WhatsApp sasa. #WeightGain #UngaWaLishe #HealthyWeightGain #DrNajm #Tanzania