nikeipost ila boss najuwa atanifuta kazi so wacha nimalize contract nikiwa airport niwapostie😁😁😁😁😁
2026-09-11 08:08:28
11
naifaty salumu :
Sijuii kwa nini nimelia jaman na huu wimbo ila Allah anajua yanayo nisibu nataman nipate ata dada wahiyarii mimi niwe naet mana kuzaliwa wakike pekeako unakosa ata wakumuambia yanayo kusibu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-09-13 09:24:42
28
Ajara Said :
2026-10-31 14:21:29
2
Zahara Lukomo :
Ma Sha Allah naomba jina la qaswida
2026-09-11 09:02:16
8
Ann Milk-bar :
Ukweli utajulikana mwisho wa kila shutuma 🧎♀️➡️🙏🤲🏻