@marioo_bad: TANGAZO TANGAZO SITAKI TENA POMBE 🎶🔥 Feat @Harmonize #Tangazo #Marioo #Harmonize

MARIOO
MARIOO
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 10 September 2026 16:08:12 GMT
82197
12397
153
193

Music

Download

Comments

barbiesophie333
🎀PHIER🎀 :
Ikifik 1k niitwe jmn😁😁😁
2026-09-10 16:11:10
66
hellentheboss4
Hellen❤️🌹 :
team marioo. mukuyee mukuyee😋🥰🥰🥰🔥
2026-09-11 04:59:45
2
cleverjr2066
Zę clevér Jr☆ :
tunaomkubali MARIOO tujuanee hapaa
2026-09-10 17:44:33
25
peacandmoney1
BURACK💞 :
njooni tujadili nin hiki mnasikia
2026-09-10 17:45:46
10
keizothedj26
Keizo The Dj :
Number one bro
2026-09-11 06:55:32
2
officialsixphonestore
Six phone store :
si ni juzi tu mliimba pombe watoto leo mmeimba tena hamtaki pombe!?😂
2026-09-10 18:41:08
8
abelsingo167
xhing'0h :
basi bhn ngj tukuachie kuimba wewe sasa🫡🫡
2026-09-10 18:58:46
5
user771491206392
Tc charming 😇 :
nikikuta million yangu 😂🤭😂🤌🏾fave artist ❤️‍🔥
2026-09-10 22:24:38
1
marieladytz
marieladytz :
weee Mario wewe ni nani? hayaaaaaaaaahayaaaaa
2026-09-11 06:13:58
2
user3235102700007
zuuh fan🐻🐻 :
pend bhn
2026-09-10 16:10:55
11
shanara.comedian1
shanara Comedian :
badidi😁 Shanara Comedian
2026-09-11 03:48:33
1
vailetimvula
Vaileth salvus :
nasubili najua leo umekana pombe kesho utawakana vibonge wembamba wenzangu wenye imani na mario like hapa🥰🥰🥰
2026-09-11 06:07:02
2
mrsmau19
Mrs Mau 💝💝 :
comment yng isiguswe
2026-09-10 16:11:32
5
nattiekiddy45
💸💸💸😎🫴NATTIEKIDDY46🔷️✔️ :
:Habar wanaTiktok.. Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu nana kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu
2026-09-10 16:11:20
5
elizabethkombe70
elizabethkombe70 :
fire 🔥
2026-09-10 22:17:34
1
wizz05557
WIZZ 💔 :
baddie 💪
2026-09-10 16:12:24
2
beastmurungiwaltz
Mr.BEAST🇰🇪🇰🇪Ⓜ️ :
unyamwezi huu Aloooo🇰🇪🇰🇪🇰🇪
2026-09-11 05:52:55
1
esnajosephgmail.com
happie :
Leo pombe amekua adui na uliimba ww leo uitaki😂😂
2026-09-10 21:19:23
3
snipernoa
SniperNoa :
Jaman tuwe makin Sana na vitu kama hivi , unaweza ukajikuta unaingia kwenye matatizo bila kutegemea na hii ndo shida ya sisi watanzania na inatuponza sana unakuta mtu yupo serious kabisa anasoma comment yangu badala aandike ya kwake.
2026-09-10 18:15:08
2
imani.alex.mpandu
Imani Alex Mpandula :
mimi jinsi wanavyo imba mimi huku hoyi hawa vijana hapana vanemba newala
2026-09-11 05:12:53
1
user7361693573443
💜💜Nasobrine🌹🌹 :
hakika man 💯💯
2026-09-10 21:06:27
1
gamio_lloyd
🥷being_lloyd💯 :
2026-09-10 16:12:11
3
To see more videos from user @marioo_bad, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About