@madeinmbeyabrand: Tshirt za made in mbeya zipo size na rangi tofauti tofauti Bei: 25,000/= Location:Dar, Mbeya Contacts:0753637050
madeinmbeyabrand
Region: TZ
Thursday 10 September 2026 16:13:48 GMT
Music
Download
Comments
Nazareth :
uyo home boy kabisa, mpe ela yake bhana
2026-09-10 20:49:13
14
neema mwasomola :
waooooooooooo safi
2026-09-10 21:26:27
0
Ms Nyandindi 🤍🦋 :
huyu sio Mzungu jameni n Gwa Kukaja Kabisaaa .... 😅😅😅💔🙌🏾
2026-09-10 16:49:48
36
zookey :
wanyakyusa johannesburg au south africa kwa ujumla wanaita joni au jubeki.
zambia wanaita nkambofi.
2026-09-10 17:54:09
9
Upendo Sapali :
mpe Jina la kinyakyusa huyo ndugu zetu😄😄😄🔥
2026-09-10 20:59:21
1
Beatrice :
na unyakyusa Wang,kuna vitu kanishinda😂😂
2026-09-10 18:44:24
4
ALUMINIUM _DAR-ES-SALAAM :
sijawahi kujua mamba anaitwaje 😄😄
2026-09-10 19:27:55
4
Miss_tee :
Kuna wengine wanyakyusa ila hata hatujui vitu vingine hapo 😂🥹
2026-09-10 19:44:52
4
shiner :
mnauhakika huyu nimzungu😂😂😂🥰🥰
2026-09-11 01:54:02
0
doryimani :
Huyu sio mzungu
2026-09-11 00:33:08
0
NICK :
unauakika uyo ni mzungu kweli?
2026-09-10 17:46:47
1
💙Miss lackie💙 :
ila umemwambia me siamin😅😅😅
2026-09-10 17:59:40
1
Уникальный🦋 :
Mzunguruko
2026-09-10 23:46:41
0
WANYAKYUSA taifa kubwaaaaaaa
2026-09-10 22:43:54
0
Made in Singida Brand🌻 :
Zile Hela Zetu Ulochkua Kwenye Content Zimeenda Kwa Mzungu Kaka 😅😅🙌
2026-09-10 16:20:58
0
mester_jijimaa :
🤣🤣nimestuk nusu niloesh cm yang kw matee
2026-09-10 20:56:29
0
priscar :
daa mm mnyakyusa ckujua Kama mamba ni ngwina
2026-09-10 20:51:56
0
Disminder Girl 😘 :
mi mamba ningekosa
2026-09-10 21:26:12
0
Asinaty William :
tumepigwa apo 🤣🤣
2026-09-11 00:34:43
0
mkuu wa ma rider Tz :
mm mwenyewe mnyaki sijui
2026-09-10 21:18:53
0
NYERENGA TZ⛓️💥🖇️⚒️ :
Dunia yamungu vitu vyamzungu kudubayiii!!😁😁😁😂😂😂
2026-09-10 21:00:37
0
Made in Singida Brand🌻 :
Singida inaitwaje Kwa Kinyakyusa😅😅
2026-09-10 16:21:43
0
To see more videos from user @madeinmbeyabrand, please go to the Tikwm
homepage.