You can see their manager screaming on the touchline line telling his team to calm down😂😂😂
2026-09-14 15:33:52
7
Arsenal blood :
alafu KONAMI needs to work on defenders they are slow
2026-09-13 15:17:02
34
muuh bright :
tuma username yako
2026-09-15 05:25:22
0
𝑴𝒓 𝑰𝑮𝑵𝑨𝑪𝑬 :
E football
2026-09-13 20:14:56
1
tynah❣️✨ :
Yesu anarudi wapendwa tutubu na tumrudie Mungu
2026-09-14 13:10:39
26
prime duo :
kaka nimeanua tu nikuffolow saut yak inanichekesh kinom😅
2026-09-11 05:53:20
21
Tinny bway :
nenda kaseti individuals instruction pale kaka ita kusaidia
2026-09-14 17:55:55
2
Jerry :
Tafuta simu ndogo weka line zako zinazojulikana kisha tafuta line mpya kwa ajili ya Bando tu. Hapo hata ucheze siku nzima hakuna wa kukupigia wala kukusumbua
2026-09-15 02:23:54
4
user9988001234 :
mi naomba mnieleweshe kwann anatumia poda, ni game gani kwan hiyo
2026-09-13 17:45:37
6
it's _humphrey :
ni Mimi peke yangu ama ni Samsung zote zina hang tuki game
2026-09-14 10:31:57
2
mondayjarden1 :
mtu nwenyewe ndo mimi kaka
2026-09-13 15:28:38
0
𝗬𝗼𝘂𝗻𝗴𝗥𝗵𝗼𝗻𝘆☺︎︎ :
hiyo game mbn ni mimi bro 😁 njoo turudie match ujarib bahati yako
2026-09-10 18:12:54
4
titusdavid39 :
zamani hii kitu nilizani ni content kumbeeeee mamae
2026-09-10 18:18:53
0
gwaxam 99 :
mm saiz nablock watu kabla ya KUCHEZA game na nna zuia namba ngeni zisiite
2026-09-12 17:02:38
4
mohbad :
@mohbad:@mohbad:nilikuwa dvn ya 3 kwann nimeludishwa ya 5 Leo 😳 baada ya update
2026-09-10 21:33:36
4
thomass wiliam :
kama upat upat too
2026-09-10 16:39:00
0
Krisant jr :
Umempata Madison
2026-09-10 16:31:53
0
Ramson :
Mtoto Wa kiume kuwa mtu Wa game Sana inakataaa blood
2026-09-14 07:59:21
1
jailan🔥🔥 :
🤣🤣
2026-09-14 08:43:45
2
𝐬𝐚𝐥𝐢𝐦'𝐬☆𝐭𝐮𝐞𝐬𝐝𝐚𝐲☆☆ :
bro uko dar
2026-09-11 07:53:13
2
Muu saint 07 :
mimi nina mpaka laini ya kuchezea efootball tuu hainaga kupigiwa kaka naona walikua wana nisumbua sana🤣🤣
2026-09-14 05:01:27
2
Abuu Mkali Hussen :
hahaha😂😂
2026-09-10 17:56:00
1
it's kasangala jr💦 :
daaaah hiii kitu inauma kinoma wakuuu
2026-09-13 15:16:07
1
Jacob :
m niko bussy na puliza poda hiyoo
2026-09-13 19:17:28
2
Jay kocha official☠☠☠☠☠ :
mda wa kucheza washa Do not disturb hat ukipigiwa huoni chochote wala cm haigandi🙌🙌🙌
2026-09-14 05:54:59
2
To see more videos from user @chinchamaya, please go to the Tikwm
homepage.