thanks just thanks. Aya bana tuseme nini sisi watoto na wajukuu wa kambarage. sibora usingekalia iko kiti mapema pengine walio tuzulumu wangetangulia kabla hujakikalia. Ila yote nimipango ya Mungu. umeenda aisee 💔 tulikiwa machalii wadogo enzi zako ila tuliijua siasa sababu yako. ama kweli apa Mungu alituweza, Sema ndo mipango hakuna namna kukubali na kushukuru. umeenda John pengine utatuongoza kwenye maisha mengine. itoshe kusema asante mwana chato. ULALE SALAMA MZEE JOHN 💔
2026-09-10 19:01:20
6
Magufulism :
Niliandika ujumbe mzito sana na mrefu lakini nikafuta nikaona nitaliza watu wengi acha nilie peke yangu 😢😢😢
2026-09-10 17:31:38
7
SØÑ :
daaah🙌🙌🙌 hisiku mim nililiya san
2026-09-10 17:24:02
2
DAVID EDWARD :
2026-09-10 19:20:14
1
sabby girl 💜 :
Tutakukumbuka daima baba yetu wa taifa mtetezi wa wanyonge mzalendo shujaa wa nchi ya Tanzania pumzika kwa aman baba tumekumis wananchi Ako 😭😭😭😭🫶🫶🫶 rest in peace mheshimiwa magufuli
2026-09-10 20:54:14
1
𝙑𝙔𝙊𝙈 𝘽𝙊𝙔 𝙂𝘼𝙈𝙀 🎮 :
2026-09-11 09:11:02
0
DX :
nifunze kuedit
2026-09-10 16:48:18
1
C.I.A⛎ :
2026-09-10 18:24:54
1
King jovan :
Grand pa
2026-09-11 04:38:46
1
Mr.Bitse :
Matatizo yalianzia hapa
2026-09-11 07:04:22
1
Aquarius :
ndio siku giza lilianza kutanda uyo sio shupavu tu ni BABA WA TAIFA WA PILI
2026-09-11 07:17:56
0
To see more videos from user @van_edit100, please go to the Tikwm
homepage.