@mcmtamahofficial:

mcmtamahofficial
mcmtamahofficial
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 10 September 2026 16:35:53 GMT
224930
29105
386
230

Music

Download

Comments

user6785317050650
hamdan :
izo nyimbo zisikien tu lakn ukienda kweny restautant ambaz wanapig hizo nyimbo kimbia apo chai inauzwa lak na nusu
2026-09-10 18:49:10
265
graysonbm1
BRO🤠 :
Leo nimgundua kumbe hizi emojies zinakuanga Vowels 😂-a 😄-e 😁-i 😮-o 😯-u Makofi kwangu 👏👏
2026-09-10 18:17:09
84
tinamwasekaga523
Tina Mwasekaga :
Nikipata mchumba utakuwa Mc kwenye harusi yangu....In the name of Jesus 🙏🥰
2026-09-10 18:23:45
82
kubangaiza.m.kund
Kubangaiza M Kundavi :
Kaka Mkubwa uko vizuri Sana 🔥🔥🔥🔥
2026-09-10 17:23:55
42
yassinimlawa116
officialyasso :
nimezunguka kote duniani sijaona watu wenye sifa na wanajiamini kama wenye viparaaa
2026-09-10 19:38:12
37
mfugalee..02
@2pac...02 :
Japo sio kwa 100% ila mim mheshimiwa MC nakupa 93%
2026-09-10 17:48:35
34
lusda123
lusda🥰🍎 :
ukiskia huu wimbo kwenye sherehe ujue mda wa chakula huo 🤣
2026-09-10 18:43:36
34
jeffersonbadghah
Jefferson Bad Ghah The Horse :
Much respect.... ✍️🏾💯
2026-09-10 18:25:38
4
samuel.mr.lecourant
[email protected] :
you know how to sing my brother
2026-09-10 20:57:43
1
user6391023992279phanny
Phanny wizzy :
part ya mishangz
2026-09-10 18:38:48
5
alonomaster
Alono Master :
Meza imejaa Brutal hyo🔥🔥😂😂
2026-09-10 18:04:12
18
norbethmarius
Mr.Oversize Furnitures :
🔥🔥🔥🔥 unajua sana MC
2026-09-10 17:19:51
20
26kisangaikeequity
NoTbAd👣 :
tutafanya kazi gan sas kam ma mc wanatakiwa wanaojua kizungu😂
2026-09-10 18:30:41
18
user8356070952548
Michael :
Umetishaaaaaaaaaa
2026-09-10 18:19:35
2
phinias..py16
PHINIAS_P¥16^ c0ñfident!äL🙏💪 :
Umeimba vizuriii sana yaaani DAH!!! 💯✓
2026-09-10 19:00:49
10
user537120745300
👑Chief Ngwira :
umetisha kaka kama yeyeeee
2026-09-10 18:40:34
9
african.kid1
African kid :
Daaah bro unajua sana 🙌🏼🙌🏼
2026-09-10 17:33:31
5
raphaeljackson89
raphaeljackson89 :
Wengine wangeluka na Wasanii wa bongo
2026-09-10 18:23:34
8
elizabethnyambur50
🔥sweet diva💞💞 :
salimia huyo mrembo aliyechagua wimbo ,nairob tumemmis sanaaa
2026-09-10 17:49:43
10
mandizoman
J man :
Kaka mwaka kesho tunafanya jambo mke akipatikanantu basi
2026-09-10 19:33:30
8
user26886748608493
Litimuu :
woow,unajua mpk unajua tena
2026-09-10 18:05:26
6
mr.crazy3609
Mr Crazy🤑🤑 :
i really like the song wow[Heartwarming]
2026-09-10 17:49:17
6
paulmathieu187
Paul Mathieu :
kipaji chako kipo juu
2026-09-10 18:15:46
6
To see more videos from user @mcmtamahofficial, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About