@omarimshairi: KATA TIKETI YAKO MAPEMA MWANASIMBA KAZI NDO IMEANZA KAZI BADO HAIJATIMIA! MAANDALIZI YAMEANZA! 🔴⚪️🦁 Baada ya kupata ushindi muhimu wa goli 1-0 ugenini nchini Malawi, kikosi cha Mnyama kirejea kambini kuanza rasmi maandalizi ya mchezo wa marudiano wa CAF Champions League! Ushindi wa ugenini ulikuwa mwanzo tu, sasa nguvu zote zinahamishiwa nyumbani kuhakikisha tunamaliza kazi na kukata tiketi ya kutinga hatua inayofuata! #SimbaSC #CAFCL #NguvuMoja #SimbaSCLeo #benjaminmkapastadium🏟