@focustvtz: Vibe na morali wa Vijana wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), siku ya kufunga Mafunzo ya JKT kwa vijana wa Mujibu wa Sheria OP Linda Amani na Vijana wa Kujitolea OP Nishati Safi katika kikosi cha Mafinga JKT, mkoani Iringa Septemba 08, 2026. #FocusTVTanzania
Focus TV Tanzania
Region: TZ
Thursday 10 September 2026 16:44:24 GMT
Music
Download
Comments
saby beauty :
841kj good memories ❤️2023
2026-09-10 17:00:33
84
Senzah Jay :
huyu siyo mwaijande kweli 😄 🤣
2026-09-10 19:11:25
91
hadijafaki :
822kj let’s gather here OP magufuli
2026-09-10 17:52:53
24
jacque_store5 :
Memories 2014 rwamkomawjkt 822kj
2026-09-10 19:42:34
19
power 402 :
Yan Mwaijande ndio Amefikia huku Kwelii Maisha yanabadilika🤣🤣
2026-09-10 17:37:56
54
gwim's daughter :
nimefurah kukuona af wangu mwaijande ,kweli jesh moraly ulikuwaga serious hatar enz hizo 2014 maramba tanga
2026-09-10 18:31:48
47
chonya augusto :
daaah mwaijandeeeeeeee!!!! opp miaka 60 ya jkt 2023....just memories
2026-09-10 20:19:46
10
Future Dady :
841kj memories 2019 Mafinga 🫂👏
2026-09-10 18:36:47
3
Baraka :
mwaijande sir,salute
2026-09-11 04:33:16
1
🥶❄️K.I. D. D. A🥶 :
OP SAMIA TUJUANE 841KJ 😂😂💪
2026-09-11 10:10:09
8
Luciegeorge💕 :
He was always call me chei cheii captain Mwaijande Maramba jkt mujibu wa Sheria
2026-09-10 19:15:35
0
Mil’s Plator ❤️💫🧸 :
Our Mwaijande❤️❤️
2026-09-11 08:32:25
1
ms_martha :
ni wapi hapa mkoa gani
2026-09-10 19:06:42
14
raes_og🌸 :
Those days 843Kj nachingwea😁
2026-09-10 19:14:01
2
Tasia Mathew :
loh! hii imenikimbusha mbali mno 2016@835kj😁
2026-09-10 18:54:00
20
Ac🌸 :
home sweet home kawawa🥰
2026-09-10 18:50:25
3
Jimmy Kaboja98 :
Watu wa Oljoro JKT gonga like apa
2026-09-11 08:02:53
11
Dr of chemistry🇹🇿 :
Natamani nirudi huko nimemic mabio😂😂😂 Watu ruvu 2015 tujuane kj832
2026-09-10 18:37:14
5
AKE :
Na Hellena mwenyewe ndio mimi🤣🤣🤣
2026-09-10 18:47:16
5
Helena Mapunda :
nipo apa na mwanangu❤️
2026-09-10 18:20:07
11
James klovian :
Yan kawa mpole hv uyu mzee ni noma
2026-09-10 18:25:15
8
dee cute❤️🫦 :
Ambao tulikimbiaa jkt 2023 hapa 😅😅
2026-09-10 18:15:50
9
Shio jr :
@Shio jr:nakubali mm nilipita 842 kj Yan walikuwa wakimaliza mafinga wanakuja mlale .wanangu wa mlale jk t (842) like comment yangu
2026-09-10 17:52:22
7
7880 :
Uzuri wa JKT tunafunzwa Ushirikiano Alieanzisha Kwa Mujibu 🙌🙌🙌
2026-09-10 17:50:48
6
Mr. A :
Oyaaaaa835kj …mpo wap wananguuu.!!????
2026-09-11 15:31:28
0
To see more videos from user @focustvtz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.