Msimvamie shekh kwa maneneo makal hapo nawaona wengine…shekh anatumia hekma kubwa na elimu kujib maswal yote sio hili tu kam mnakuw mnafatilia vedio zake sas anapo towa jib sikiliz hekim yake na elim yake ndio utajuw inafaa au haifai coz sio kula jib litoke tuu direct huyo sio pasta wal padir uislam unapo ulizw swal unatakiw ulifafanuw muliz aelewe din yetu haitifunz kuropoka (mungu akuhifadh shekh wetu)
2026-10-17 07:33:21
2
khambazan :
Surah: An-Nisaa, Ayat: 35
وَاِنۡ خِفۡتُمۡ شِقَاقَبَيۡنِهِمَا فَابۡعَثُوۡا حَكَمًا مِّنۡ اَهۡلِهٖ وَحَكَمًا مِّنۡ اَهۡلِهَا ۚ اِنۡ يّرِيۡدَاۤ اِصۡلَاحًا يّوَفِّـقِ اللّٰهُبَيۡنَهُمَا ؕ اِنّاللّٰهَكَانَعَلِيۡمًا خَبِيۡرًا
Meaning : Na mkichelea kutakuwapo mfarakano baina ya mke na mume basi pelekeni muamuzi kutokana na jamaa za mume, na muamuzi kutokana na jamaa za mke. Wakitaka mapatano Mwenyezi Mungu atawawezesha. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mjuzi Mwenye khabari.
Surah: An-Nisaa, Ayat: 35
وَاِنۡ خِفۡتُمۡ شِقَاقَبَيۡنِهِمَا فَابۡعَثُوۡا حَكَمًا مِّنۡ اَهۡلِهٖ وَحَكَمًا مِّنۡ اَهۡلِهَا ۚ اِنۡ يّرِيۡدَاۤ اِصۡلَاحًا يّوَفِّـقِ اللّٰهُبَيۡنَهُمَا ؕ اِنّاللّٰهَكَانَعَلِيۡمًا خَبِيۡرًا
Meaning : Na mkichelea kutakuwapo mfarakano baina ya mke na mume basi pelekeni muamuzi kutokana na jamaa za mume, na muamuzi kutokana na jamaa za mke. Wakitaka mapatano Mwenyezi Mungu atawawezesha. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mjuzi Mwenye khabari.
2026-09-10 20:06:29
2
Mzazi254 :
haifai
2026-10-17 18:46:26
0
East Africa Quality chicken fa :
Shekhe naona unazunguka sana☺️
2026-09-17 19:38:51
0
ابن الياس :
Kidogo mkumbuke kwa nchi inayokubali sheria ambazo mungu hakubali kama vile pombe n.k kwani hata mwanaume nishaka kuongza nchi kama hiyo tena inasema serekali inayosema haina dini
2026-09-10 20:26:12
3
daudnhoadamu :
sema.haifa2 kaka
2026-09-10 19:47:32
4
Conkara :
asanta usdh
2026-09-10 20:33:25
2
WISE MAN :
Mwenye akili amefahamu
2026-09-11 09:15:57
2
master asomtu anamungu :
haifaii
2026-09-12 20:31:17
0
Azyze :
Inafaaaa
2026-09-11 08:13:19
2
Yusco :
haifai ustuchanganye
2026-09-11 09:17:09
1
hisram bey🤗 :
well said barakallahu fiika ya sheikh
2026-09-17 11:07:24
1
leader 45 life :
haifai
2026-09-10 19:56:18
4
khambazan :
kwamujibu wa hio aya hapo inazungu mziwa uraisi au uongozi wa nchi au mambo ya nyumbani jamaa
2026-09-10 20:07:41
1
Abu Thwalha :
Assalam aleykum warahmathullahi wabarakathu habib nakupenda sana kwa ajili ya Allah...nilishakwambia pendeleni sasa jawabu ni moja yafaa au haifai wacha maelezo mengi sheikh langu hapa wanifelisha jibu ni laaa hafai.......
2026-09-19 09:00:03
0
SHEIKH AMINI AMRI :
kwenye dini hawezi kuongoza dini.
kwenye serikali anaongoza.
2026-09-15 08:35:39
1
Twaha Dhahabu :
Sawa haifai.
lakin haifai Kwa sharia Gan?
2026-09-19 16:15:35
0
abubakarjamalulleyl :
uislamu umekataza UKHILAFA, raisi sio Khalifa, na kwa mfumo wa kisasa nchi zinatawaliwa na sharia na kanuni, raisi ni mlinzi tu wa hizo kanuni, na sio maana ya ukhalifa uliokatazwa mwanamke kushika.
2026-11-03 14:47:08
0
ßilal :
jibu linajulikana ila mnataka sheikh wangu atek..🤐