umejaribu kutuelezea lakini bado Kuna makosa kidogo hapo Kuna kitu hujaweka sawa hapo haswa kuhusu hizo namba daaahh! hapo Kuna namba hizo 1,2,3,4,nk. itategemea Kuna ×100 na ×1000 Sasa ikiwa ni ×100 namba 1 haitakua 1000 itakua 100 na ikiwa 2 itakua 200 alafu ikiwa ×1000 ndo itaenda kwa 1000,2000 nk.
2026-09-15 04:00:52
3
Nzonzi private driver :
haya bahn hivi unazungumziaga magari makubwa au madogo
2026-09-20 05:57:38
0
emmanuel847794 :
kuna utofaut gan rpm ya gar ya diesel na petrol
2026-09-19 04:43:29
0
Best logic :
fundi wa Ai
2026-09-29 03:50:52
0
mugerejr :
kaka vp
2026-09-28 14:16:07
0
MDÛDÚ ÇLÃSSÎÇ :
kina gar hazn r.p.m nazenyee unasomaje
2026-09-23 22:55:27
0
🅸🅼🅰🅽 🅼🆆🅰🅺🅰🅹🅸🅽🅶🅰 :
sikia kaka ukiwasha gari ya mzungu ukaicha inazima yenyewe na inakualet matumizi mabaya mafuta wanangu wa scania benz Volvo wanaelewa hii imekaaje hii
2026-09-22 21:59:45
0
majidy mdullah :
sio gari zote ukiwasha unatakiwa usubili kaka
2026-09-20 18:29:51
0
Sir M :
mkuu kuna marekebisho kidogo kuhusu kuwasha gari na kuacha injini ipate joto...
manufacturer kama toyota, kwenye land cruiser ameagiza, injini ipashwe moto kwa kuendeshwa sio ikiwa idle (iko neutral inaunguruma)
hivyo be warned ⚠️na maelekezo hayo ya kusubiri gari ipate moto while idling!!
jiridhishe ni maelekezo ya manufacturer kabla hujaitoa elimu hiyo kwa umma
2026-09-15 08:22:23
3
sagacious gal :
🥰🔥
2026-09-11 05:29:15
1
DENNIC :
🔥🔥🔥
2026-09-28 15:04:00
0
To see more videos from user @mens_talk_, please go to the Tikwm
homepage.