@uhondo.tv: Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Florence Samizi, ametoa elimu kwa mama wa mapacha watatu, Maridhia Miraji, kuhusu namna bora ya kuwahudumia watoto hao ili waweze kukua vizuri, ikiwemo kuzingatia usafi, lishe na kinga dhidi ya maambukizi. Dkt. Samizi amemuelekeza mama huyo namna ya kuwahudumia watoto njiti, hususan kuhakikisha wanapata joto la kutosha, lishe sahihi na uangalizi wa karibu, pamoja na kufuatilia afya zao kwa mujibu wa ushauri wa wataalamu wa afya. Amesema malezi na uangalizi mzuri kwa watoto njiti ni muhimu katika kuhakikisha wanakua salama na kufikia hatua nzuri za ukuaji na maendeleo.
Uhondo TV
Region: TZ
Thursday 10 September 2026 17:37:53 GMT
Music
Download
Comments
mrssaid :
Nakupenda mam[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-09-10 20:18:50
0
egno msemwa :
hongera kiongozi kwa elimu
2026-09-11 03:35:12
0
EVA Mmary 🥰🥰 :
love mom wangu kweli umempa maneno mazuri hata mimi nilizaa mapacha kangaro ila kwa sasa ukiwaona uwezijuwa kama walikuwa kangaro
2026-09-10 20:23:20
1
Ashnut products :
da mama unajua kutia moyo sana nimependa hata mm nina mapacha Wana miezi 2 sasa sili ya watt mapacha wanakua kwa haraka sana
2026-09-11 02:37:56
0
ummu_nadir :
hadi raha jmn, mama anamuelekeza vzr mashallah
2026-09-10 18:54:22
0
everina :
mungu nimwema akukuzie na mimi namshukuru mungu nimepata mapacha wa kiume wawili
2026-09-10 20:31:31
0
Tuli Mwinuka :
mama km mama Asante kwa ushauri
2026-09-10 19:17:14
0
mamito :
2026-09-10 20:20:26
0
mambuo20 :
nimetamani ningeelekezwa hizi na yule wangu alikuwa 1.9
2026-09-10 20:14:17
0
To see more videos from user @uhondo.tv, please go to the Tikwm
homepage.