apo hamjaelewa nini TANZANIA imepewa sifa ya kuwa bara linalo jitegemea 🤣
2026-09-11 11:26:44
30
kristy😜😜 :
were is tz wajamen
2026-09-11 11:42:24
0
Haitham Lemonce :
Me nilijua Tanzania ipo Afrika kumb Tupo Bala la Ulaya watu weweeeeeeee🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-11 09:17:51
25
Maulid :
nchi ya ahadi iko wp
2026-09-11 05:27:10
16
KIDOH👻 :
daah Tanzania nd tushafkuzwa Africa auu,watu tutaft pa kwend😁😁
2026-09-11 00:34:08
49
phynius :
you understand when you put tanzania on a map
2026-09-11 14:24:15
1
Benjamz25 :
Au ndo tupo likizo
2026-09-11 11:46:32
11
peter :
au Africa ndo Tanzania ndo maana hawajaiweka apo:😁😁 tujivunie sasa watanzania kuwa sisi ni wakubwa na ndomaana hatujawekwa kwa wadogo🥰😅😅 TANZANIA OYEEEEE🫡🫡🫡🫡🫡👐👐👐
2026-09-11 07:38:13
13
Chidy✨️Boe🇹🇿🇹🇿 :
new map
2026-09-11 12:26:05
2
Rich jr🤑 :
Tanzania imesha pigwa mnada au hamjui 😂😂
2026-09-11 13:08:54
3
Ad-1@2906 :
kumbe TZ sio waafrika
2026-09-11 07:12:23
6
TUNDUMA FINEST🇿🇲🇹🇿 :
mwanzo nilikua mtanzania
now ni free man kutoka sayar ya 12
2026-09-11 11:15:50
5
VENNA@# :
tanzania ipo zake ulayaaa
2026-09-11 06:21:48
4
Vany daxy jr 0743624012 :
mbon kam tanzania haipo africa au imeuzwa haraf hawasemi
2026-09-11 10:58:18
6
Mary Tz :
kumbe sie hatupo Africa tena🤣🤣🤣
2026-09-11 11:39:25
6
Cistico jr :
Hey Tanzania ipo ulaya au
2026-09-11 07:06:52
3
EssDonny :
au tushauzwa
2026-09-11 06:19:03
2
Kelvn R🫣 :
Tanzania tmeamia Asia kwa akina kim
2026-09-11 06:34:38
3
Oselo :
haijulikani
2026-09-11 09:16:27
4
obey lema699 :
kwan tz imeyeyuka
2026-09-11 10:44:53
2
To see more videos from user @starwenu1, please go to the Tikwm
homepage.