@kibokoyao04: 😂😂😂 #views #viral #trending #fyp

KIBOKO YAO 😂
KIBOKO YAO 😂
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 10 September 2026 18:18:28 GMT
26586
2349
206
853

Music

Download

Comments

bad._.vibe4
""BAD _ VIBE""⚡ :
sometimes hata haisimami kabisa🫵😃
2026-09-11 07:44:01
63
offzddy
zeddy 👽 :
achaneni na mimi
2026-09-11 05:00:12
10
kelvin.diu
🅘🅣’🅢 🅓🅘🅤 :
Kwenye miti mingi akuna wajenzi
2026-09-11 08:56:38
13
user2373406930492
Aiem- Noor🦋 :
Kuna mtu kasema kwenye miti mingi akuna wajenz😂😂😂
2026-09-11 09:18:33
23
romeo255_
Shedrack Romeo :
😂😂Daaaaaah mbona kama ukweli hiviii
2026-09-11 07:45:12
14
user3745095814172
bigfish :
imekaaa kimaajabuu😂😂
2026-09-11 05:04:18
15
dybrojr
Dybala😎junior4⃣5⃣ :
daaah[Tears of joy]
2026-09-11 09:33:08
1
kiwewemlagase722
kiwewe mragase 1234 :
umejueje
2026-09-11 07:56:50
4
mkude.mkude34
Mkude Mkude💦💦👉 :
umejuaje
2026-09-11 10:29:09
2
iamfinnesboe
whsfinnest :
DUNIA DUARA😂
2026-09-11 09:00:59
1
akaminko04
🍁🍁Ex boy💥S2crazy🍁🍁 :
2026-09-11 09:55:11
1
ally37309
✝️✝️✝️,,,,,,,,,,,,,🧢🧢🧢🧢 :
kweli
2026-09-11 08:11:52
2
achraphjuma
sheriff 🕧 :
hii nayo ni ukweli😭
2026-09-11 08:01:32
5
young_trapper_tz
NTWARA ICON 🦍 :
Kwa mtazamo wangu na kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la kusema maana hata mimi sielewi ndugu zangu..
2026-09-11 10:12:39
4
astronomy_king
Casper 🧠 :
Duh noma Tena ulikuwa unakosa unaairisha match 😂
2026-09-11 11:46:41
1
To see more videos from user @kibokoyao04, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About