nauliza ivi kwani office imeamua vp maana apo yko njia salama akitaka nyumbani yuwaenda bila pingamizi akitata nyumba nyengine yuwapelekwa huu msaada w nn nauliza
2026-09-10 20:21:39
7
Najma🥰 :
Mwarabu akiitana mara moja uwa mbasi ashachoka😭jaman mungu amlinde inshallah
2026-09-11 04:34:34
3
🎖🎱🎖SAIDFELLAH🎖🎱🎖 :
kua series kiasi ..
2026-09-11 08:02:05
2
Najmh :
saudia kuna balaa
2026-09-10 19:02:47
2
Princess ZP :
Maskini Allah amfanyie wepec lkn Ngoma yakulia sana haikawii kutoboka
2026-09-11 07:09:46
1
... :
watu wa Qatar hatujalipwa bd na wala hatujui tutalipwa lini ila tukilipwa tutachanga inshaAllah