The experience I had in Tz i can say Bajaji drivers and Boda boda Drivers are very rough.
2026-09-10 21:02:58
0
Mwani 003 :
Amejielezea mpk nmejikuta naumia jmn daah
2026-09-10 20:09:23
74
Richard UPDF :
forgive him 🙏
2026-09-10 21:20:11
0
ZEE LA CHABO.🧐 :
Msameheni tu mzee daah! mpaka huruma kama itawa pendeza kumsamehe
2026-09-10 19:02:59
180
bi_mzuri93 :
Kama inawezekana mtafute mzee weka namba zake tumsaidie jamani hata kwa buku buku tumpe maskini ameongea kwa huzuni nimeumia nimeona kama ni baba yangu jamani mweee
2026-09-10 20:28:39
162
Vortèx :
Msamehe watoto wake wanamtegemea
2026-09-10 18:59:44
39
james akamiko :
Duuuuuh mzee anatia hurumA
2026-09-10 20:14:20
0
LIFe_oF_BIggIE :
ila Mwanaume anawez akasameh changamoto kwa mama hapo walah
2026-09-10 19:37:50
83
Sam sk :
“IF YOU CANT BUY IT TWICE, YOU CANT AFFORD IT”
2026-09-10 21:20:54
0
James Patrick :
ingekuwa ni mm mzee wangu ningekusamehe tu.
2026-09-10 19:51:35
24
davinrealtor :
Forgive him his very humble and has accepted his mistake what can a man in his situation pay you with and he has said he doesn’t have any thing to pay
2026-09-10 20:55:43
0
Innocent Vincent :
me naamini mmiliki wa kitu hawez shindwa kurekebishana
2026-09-10 19:38:04
65
BABA JJ. :
sehemu ndogo sana iyo kishasena hana chochote Kamera kibao au gari mmeazima
2026-09-10 20:04:45
56
MAN OF GOD MBEZI :
Huu ni ujumbe kwa wote..jifunze kuwa na huruma na moyo upendo hasa mtu anapokunyenyekea na kuomba msamaha.
utakuwa kati ya watu wanaoishi kwa furaha sana hapa Duniani.
2026-09-10 19:15:31
45
💥 official💥 :
acheni Roho mbaya mshatumia vingapi muachen baba wa watu kidogo chake ndy chakula cha wanawe gari sio kitu bwn
2026-09-10 19:38:06
19
omary mkorea :
father nanunua figo
2026-09-10 19:07:52
5
Naheed :
dah! ingekuwa mie namsamehe mana mambo ya barabarani tyu
2026-09-10 19:57:36
16
man weezy :
msamehe brake kukatika ndio tatizoo yeye haja dhamuria hyoo ni ajali elewa neno ajali
2026-09-10 20:45:40
6
Belcamp98 :
Nilichogundua hao pia sio gari yao
2026-09-10 20:28:37
9
yunu brand :
kwanza sio gharama hapo mzee laki 3 tu kusha maliza kazi
2026-09-10 19:51:07
13
Gabby :
Binafsi Ningemuacha Mzee Aendelee Na Mapambano
2026-09-10 19:52:48
8
🦻DAN🧠 UMEME🦴🦴👅 :
mha mwenzangu pole sana kama Kuna Mariposa nichek dm nichangie namba yake pleas
2026-09-10 19:22:34
6
ABUU DAWA 01 :
nani kaskia aaaaaaaweeeeeeee keleleeeeee
2026-09-10 18:39:04
14
👑⚜️𝑾𝑰𝑳𝑬𝑾𝑰𝑳𝑬12⚜️👑 :
sas mtu kasema hana uwezo kaombwa awekwe ndani...mnalazimisha atengeneze.... bas nenden mahakamn awe anakulipa kidog kidog ...
2026-09-10 21:11:41
5
To see more videos from user @wanazibusestz, please go to the Tikwm
homepage.