@bongofive: Mwanamume mwenye umri wa miaka 104 nchini Bangladesh, Nur Mohammad, amejisalimisha mahakamani baada ya kukaa mafichoni kwa miaka mingi kufuatia kesi ya mauaji na uporaji wa mwaka 2000. Alikuwa amehukumiwa kifo mwaka 2003, kabla hukumu hiyo kubadilishwa kuwa kifungo cha miaka 10 mwaka 2007. Sasa, akiwa na miaka 104, amejisalimisha mwenyewe, lakini ombi lake la dhamana limekataliwa na kuamriwa kupelekwa gerezani. 🎤 @cathed__
Bongofive
Region: TZ
Thursday 10 September 2026 18:41:03 GMT
Music
Download
Comments
@mysarah448 :
Anapelekwa kuhudumiwa
2026-09-10 19:37:33
40
🦋🔥OFFICIAL TAMRATY🔥🦋 :
ameon amezeka 😅😅 ila uyu mzee
2026-09-10 19:18:45
58
ZUUH 💖✨️ :
Ata nigekuwa mimi nigejisalimisha nikafie serikalini 😅😅😅😅
2026-09-10 19:35:31
34
Noor mohammad :
Mbona munanisingizia
2026-09-10 21:10:21
3
Bantu Transfer Services :
The future is in your hands
2026-09-10 21:41:42
0
newgram :
hapo mbona kama umetupiga miaka ya 2000's mzee alikuwa na miaka 80
afu ndio apige hayo matukio
2026-09-10 19:41:52
10
mtula amri :
now I'm free to move from Tanzania to any country needs me 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-10 19:35:48
3
Mr Davie✨ :
kwahiyoo mnapeleka mnafunga mtu alo kufaaa
2026-09-10 19:38:54
11
KING D :
Sheria haina umri
2026-09-10 19:29:12
8
Official ochu jr@ :
wangemuacha2 jaman zaidi wangempa msaada jaman alizani atapewa msaada akijitokeza
2026-09-10 19:10:47
8
12 :
wamsamehe tu
2026-09-10 19:42:04
4
Dulla2410 :
Hukumu ya muhalifu Haina huruma
2026-09-10 20:05:35
3
Gaudencia :
kajion na umri umeenda akaamua ajisalimish t akafie uko mbele
2026-09-10 19:57:07
4
Somoe Amani :
Allah amsamehe na amrehemu tuu
2026-09-10 19:48:07
3
Suzie Sayi :
sasa huyu watamufanya nn
2026-09-10 21:15:58
2
Zumaiya Husseinzumaiya :
mahakama nao mtu kazeeka wa nini.ata kama kesi haizeeki
2026-09-10 21:18:37
2
🔥 MR. GIDDY🔥 :
mmmh ningekuwa mm sijisalimishi
2026-09-10 19:14:26
7
K U A films :
😳🤣🤣🤣✍️aise hii 🔥🔥
2026-09-10 19:44:45
1
أستاذ أبو نردين :
Kuna nini tena
2026-09-10 19:49:41
1
halimahamiss483 :
Allah amsameh madhambiake na apokeee tobayake
2026-09-10 19:46:40
1
Happy nation :
Sasa afungiwa nini huyo mzeee kwani sheria yao ukikimbia simpaka ufanye tena makosa
2026-09-10 19:48:04
1
khad568i..fatma :
mashaallah🥰🥰🥰
2026-09-10 21:56:39
0
To see more videos from user @bongofive, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.