@chawamatasystem: VIDEO: Mchezaji wa Mighty Wanderers amesema hawana hofu kuelekea mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Simba SC, akisisitiza kuwa wanaamini wanaweza kupata matokeo mazuri. Akizungumza baada ya kuwasili Tanzania kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, mchezaji huyo amesema ukubwa wa jina la Simba SC hauwapi presha, huku wakiamini uwezo wao ndani ya uwanja. Amesema licha ya Simba kupata ushindi katika mchezo wa kwanza, Mighty Wanderers wamewasili Tanzania wakiwa na dhamira ya kupambana na kutafuta ushindi katika mchezo wa marudiano. “Simba ni jina tu, tunaamini na sisi tutapata matokeo,” amesema mchezaji huyo, akieleza kujiamini kwao kabla ya mchezo huo muhimu.

Chawamata_Sports
Chawamata_Sports
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 10 September 2026 20:07:08 GMT
21219
983
82
18

Music

Download

Comments

alhajnaiman
Alhaji :
A few moments letter 6-1
2026-09-13 17:35:53
0
ten4plaed
ten4 plaed :
natunza hii video a few moment
2026-09-12 18:52:58
0
gragaaga
AKILI MNEMBA ⚠️🈂️ :
a few moments later
2026-09-11 19:43:23
0
fineboe123
Fine~boe☘️🍫💫 :
just a name 😂😂 a few moments later 😭😭
2026-09-12 17:47:50
0
mcadamschiry
MᶜAdams Chiry 🇹🇿 :
[Laugh approved][Tears of joy][Laugh approved][Tears of joy]dah huyu ndie aliesababisha wamefungwa goli sita eti Simba ni jina tu wao wakubwa kuliko sisi [Laugh approved][Tears of joy]
2026-09-13 16:46:40
1
joellytz0
NengaTz :
😂😂😂😂😂😂yaaan libasse hasira inazidi kupanda
2026-09-11 05:35:43
27
zuberi.huseni
Tiger the one :
hv mnajua huyu ataongea kiswahili
2026-09-11 03:59:44
17
churchboy481
SELEMAN LUBANGO FAMILY💯🫡🫡 :
hawajakwambia libase kaludi sawaaa
2026-09-11 05:19:08
8
swiratwawadhifa43
Ibu muzungu :
uhuru kama awajala chuma tatu nahamia upande wa pili yaan nahamia yanga mda huo huo
2026-09-11 02:58:48
5
chankizo26
chankizo@26 :
kwahy kkasema yanga na simba ni majina tuuh auy sio😂😂
2026-09-10 23:00:54
12
user3016815014605
Noel bakola :
uta ongea kiswahili jumapili jamaa
2026-09-10 21:14:28
14
user3486177298211
Hansi Tz :
yanga ndo jina2 ila Simba subilini iyo j pili
2026-09-11 07:53:23
0
stamphord2
Justin stamphord :
simba mkajitahidi sasa pale kwa striker muweke hat mgunda sio mpanzu simnaona lile goli assist ilitoka kwakipa
2026-09-11 07:42:51
1
kahana.adam
kahana adam :
ayaaaah bhan saw tutaona
2026-09-11 07:03:43
2
atxonnierlytik
@solans GaMeR :
hawa watakula 7
2026-09-10 22:56:20
3
jophrey22
Blue :
libase yupo sasa kama walishindwa kuzuia assist ya Jibril Kasali za libase wataweza kweli🤣🤣
2026-09-10 22:57:59
4
death00047
$💵$..🇸🇩 :
A few moments later
2026-09-11 07:05:01
4
devis6523
devis :
watajuta kuja tz
2026-09-11 06:06:32
1
yambiashura
user6544829768737 :
mwenyewe anajicheka
2026-09-11 06:08:22
1
georgengod
Ngoda...🤗🤗 :
yeye mwenyew anatamani asajiliwe simb
2026-09-10 21:48:30
4
innocent.josephat65
ainnoc Innocent :
tunza maneno haya
2026-09-10 22:05:17
2
user6357438532054
PLAN B :
Sw wambie wasije sahau mabegi
2026-09-11 06:42:51
2
imani_tz42
imani_tz :
Kulikuwa na ulazima gan kumuulza na yanga huk wanacheza na simba
2026-09-11 04:48:29
3
user6333611262241
user6333611262241 :
ok
2026-09-11 03:43:47
1
To see more videos from user @chawamatasystem, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About