@azfahworld: Wengine wanajifunza kukaa kwenye baby floor seat… 😂😂 Lakini kuna sisi wa beseni! 🛁🤣❤️ Cha muhimu ni kukaa tu, njia si muhimu! 😂👶🏽✨ #AzfahWorld #Azfah #BabyAzfah #LearningToSit #BabyMilestones
@azfahworld
Region: TZ
Thursday 10 September 2026 20:55:00 GMT
Music
Download
Comments
MRS NKINGA OG🇹🇿 :
Ni wakiume?
2026-09-12 09:14:55
0
mie wangu amekaza kukaa alhamdulilah ni baby girl now ni miezi 6
2026-09-13 06:06:06
0
annuu :
miezi mingapi jamani tunaanza kuwakalisha
2026-09-11 19:14:06
1
Malkia :
Mwanangu namtia umo umo na cherewa yake nampangia na mito 🤣🤣
2026-09-10 22:23:39
0
Dacute :
Ana miez mingapi
2026-09-11 16:08:50
1
Aunty Lizzy spare :
box lake pambe tuu😂😂
2026-09-11 07:38:57
0
Rider :
Duuh kengele kama ya mtot wang
2026-09-12 11:44:12
0
marrynize700 :
wa kwangu miez 3 kashaanza kukaza
2026-09-12 13:21:10
0
myra01 :
Umeanza na miez mingp
2026-09-11 18:41:10
0
Farhati ali Mohamed :
mm nimemuweka kitandani na mito siku 4 tu kakaza
2026-09-11 08:33:56
0
bibiee085 🤭 :
kama wa kike 3-4unaanza kumkalisha ila kama wakiume ni mi5
2026-09-11 19:47:39
2
missmkundee :
wangu nilikuwa namkalisha pembeni ya kona ya kochi
2026-09-13 05:06:30
0
Mom ethan :
Mim hpa mambo yasiwe meng
2026-09-11 19:08:08
1
Mr's yuzzo👸OG❤️🔥 :
tupooooooooooo
2026-09-11 04:01:46
1
happie :
niko hapa🤣🤣🤣 mambo yasiwe mengi
2026-09-11 08:53:42
1
Jenipha Lyimo :
nipo
2026-09-11 19:39:56
0
Lisa lee157 :
kana miez mingapi dear na mm nikaanzishe aka kakwangu
2026-09-11 19:44:01
0
lolaah cute ❤️🥰🥰 :
kazurii
2026-09-12 14:43:02
0
Nelly Mlawa :
kafanana na dully sky😅😅
2026-09-13 14:07:04
0
lecho lashdi🌹🌹🌹 :
iv anakua amekaza shingo kabsa au
2026-09-11 11:21:16
0
MULHEART COSMETIC ❤️☺️ :
Umeanza kumkalisha mienzi mingap
2026-09-11 16:00:58
0
To see more videos from user @azfahworld, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.